katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Kwa sababu ya kutoheshimu mtu eti achana naye huyo ni hamnazo wewe unazo kwa hiyo unajua mtu mnamuona waaina fulani kisa nyie mnajua nini dada acha dharau ipo siku dharau hiyo itakubebesha msalaba usioweza kuutuwa kisa unamadharau sijakosa mume mtaani ujue .Amehamia kwangu
So usidhani humu ndio nimehamia wachumba zenu humu wapo tu sina time now.