Yeees! Umeona eeh?Aalllaaaaa kumbe nlikua sijui[emoji23] [emoji23] .
Ila inawezekna kma inavyokua tam zawadi ikitoka kwa umpendae(ikitoka kwa nnaempenda).
Nimeona Ma. Ila naona mmewekana sawa sasa.Ahaaahaa....kuusongesha wapi, kuna mtu tulikuwa tunawekana sawa ndo maana ukawa mrefu!....[emoji23] [emoji23]
Hata wewe bosiledi.
Na mwanaume akiomba utamu halisi usimnyime basi..Uzuri utafurahia utamu wa hela yake na pia atakupa utamu wa ziada so utakula utamu mara mbiliHela yenu tamu hivoo ujue[emoji23] [emoji23]
Haki hela ya mwanaume tamu kama asali[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ndo manake,hasa unakuta mzinga wenyewe buku30 nakuthaminisha,ka naweza nakupiga double,nakula then goes on.Hao ni wale wa kazi kazi.. Pesa mkononi mguu dirishani
Siwezi kupoa kirahisi hivi
I real don't know....Nimeona Ma. Ila naona mmewekana sawa sasa.
Ndo manake,hasa unakuta mzinga wenyewe buku30 nakuthaminisha,ka naweza nakupiga double,nakula then goes on.
Vitamu vinalipiwa au sioWe baba wewe acha ubahili ule vinono
Hivi mbona unalazimishia utamu mara mbili?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mwanaume akiomba utamu halisi usimnyime basi..Uzuri utafurahia utamu wa hela yake na pia atakupa utamu wa ziada so utakula utamu mara mbili
Mnajiona sana kama mmefika hamjui watu mnawashadadia siku sio nyingi mtawafahamu nakupiga kimya mtapiga tu mkiwona anacomment mtakaa kimya tu mnadhani wote humu ni kama nyie ila siku moja mtasalimu amri iteni malaya unadanga wewe kibibi mnajificha kwenye hivyo vipicha ila ipo siku mtasalimu amri siku sio nyingi.Hauna haja yakusema sana ili kujitambulisha
Ewaaaaa. Mie Alhamdulillah niko mzima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
habari yako dada??
pole na majukumu ya kazi.
Mimi hata usiponitunuku hela yangu nakupa tu..Sina hiyanaWewe ntakutunuku una akili sana..
Hahaaa. Pole sana rafiki. Abarikiwage mleta uzi sababu bila huu uzi usingeyajua yote haya.I real don't know....
Wote tunakua na uhitajiHivi mbona unalazimishia utamu mara mbili?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenye uhitaji wa hio kitu nani zaidi?
Hivo tu my love,maisha yenyewe mafupi stress za nini.Ivo eeh
Kwahiyo huwa unawazoom watu eeh[emoji23] [emoji23]Safi sana. [emoji120][emoji120]
Hahaaaaa. Zimerudi bana ninachozipendea huwa zinafurahisha sana kwani huwa zinafanya nijue kwamba jf tupo watu wa sampuli mbali mbali.
Inapendeza kusikia hivyo dadaEwaaaaa. Mie Alhamdulillah niko mzima.
Ahsante sana Kaka. Angalau umetia neno maana si kwa likes zile. [emoji23][emoji23]