Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Hela yenu tamu hivoo ujue[emoji23] [emoji23]

Haki hela ya mwanaume tamu kama asali[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Na mwanaume akiomba utamu halisi usimnyime basi..Uzuri utafurahia utamu wa hela yake na pia atakupa utamu wa ziada so utakula utamu mara mbili
 
Hauna haja yakusema sana ili kujitambulisha
Mnajiona sana kama mmefika hamjui watu mnawashadadia siku sio nyingi mtawafahamu nakupiga kimya mtapiga tu mkiwona anacomment mtakaa kimya tu mnadhani wote humu ni kama nyie ila siku moja mtasalimu amri iteni malaya unadanga wewe kibibi mnajificha kwenye hivyo vipicha ila ipo siku mtasalimu amri siku sio nyingi.
 
Mafiiii ya mbuzi. Ubosslady kwenye kuandika eeh.. kuna mshkaji wangu mmoja aliogopa kumfuata mtu pm humu kisa anamuogopa ana hela kwa anavyojisifiaga huku. Nikamwambia acha woga wewe katongoze achana na maandishi wengi wanaigiza
😅😅😅😅😅😅kweli full kuigiza hujasema uongo
 
Back
Top Bottom