Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mi hata mia tano mwanamke akiniomba najiuliza maswali mengi sana kichwani alafu majibu ni kumnyima hiyo ela.yaani sipendi kuombwa ela natoa kwa moyo wangu pale ninapotaka
Pole mkuu unakutana na wa kufanana nao unaombwa mpaka elf 3 na 400 hiyo ni ya kutolea au
 
Ukamtunuku Mahondaw?[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]


Hahahahaha.. Yani mtu anakusaidia bila conditions wala nini anakugharamia jamani na haoneshi hata uchu wa papuchi yako he takes his time kushughulikia mambo yako jamani mkaka mwenyewe bosi bosi fulani hivi afu kwao wana hela chafuuu... mimi ndo kipindi hiko nimeanza kazi natoa toa macho tu ndokwanza Mshahara wa kwanza sikupataga 2 months nalala kwenye kigodoro cha kupewa tu tena chinii lol ... haaaaaaaa automatic nikajikuta natamani anikule tu make nilijikuta nimemzoea sana sana na he cared about me.... make mtu anakusaidia afu hakuombi hata kwakweli mungu ambariki mno mno



cc Smart911
 
Nakuomba pm tafadhali
 
Nilihisi nakufananisha Jirani baada ya kuchanhe Avatar

Haya Shikamoo! [emoji85][emoji85]

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Salama salimini jirani... Nafurahia uwepo wako.

Natumai u buheri kabisa[emoji1488]

Jamaa wanahamia huko January, so nikaona nisipitwe nami niwe in BETA mode....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…