witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Me too...it's like tumekaa sehemu tunapiga soga, stories hivo yaaan...Sana yaani. Mie kila siku najiona naongeza kitu kichwani nikiingia humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me too...it's like tumekaa sehemu tunapiga soga, stories hivo yaaan...Sana yaani. Mie kila siku najiona naongeza kitu kichwani nikiingia humu.
Eeee yeye ni bora alinielewa nyinyi hamtabiriki siku hazifanani.Haahaaa eti anakusupport[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Napenda kwa kweli. Tena mtu ajiongeze bila mimi kumuomba nitampenda balaaHaahaaa demi unapeenda RECEIVABLE[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]Hahahaha, vzr pia km hayuko hivyo
Bora lipi uolewe humu naunyewe nawanaume au uolewe naunyewe na mzungu.
Lipi bora
Anadharau nguvu ya karatasi nyekundu.Unaidharau elfu kumi?
Hapana Mtani sijakwenda leo nilibanwa kidogo mpaka nakuja kumaliza vishughuli muda nao ukawa ulishakwenda.Hahahaha, mtani umeenda kuswali lkn ?
Kama sijaelewa vile dear?Lakini unajua nin my dear.
Vyovyote utakavyojifanya kua tofauti katika mahala fulani na uhalisia wako ulivyo utajulikana tu japo kidogo wew ni mtu wa tabia flani.
Unaongeza waume wenza...Yale yale... Kwani hatuna mkuu? Duuuh!
Haahaa eti nikuambie kitu[emoji23] [emoji23]Bora mchwa siyo wa wanawake wa utawala wa mugu .imekuwa biashara wanaanza nikuambie kitu jiandae maumivu
PowazzzHahahaha, hapana ni kawaida tu
Yah! Basi mwenye porojo zake za uongo na kweli anazitupiamo ilimradi tu. Teh teh.Me too...it's like tumekaa sehemu tunapiga soga, stories hivo yaaan...
Pole mkuu unakutana na wa kufanana nao unaombwa mpaka elf 3 na 400 hiyo ni ya kutolea au
Utakavyokua hapa JF post zako na comments zako hata ujibadilishe vipi basi nyuma ya keyboard utakua hvyo tu.Kama sijaelewa vile dear?
Huyu atakuwa mhasibu mambo ya accounts PAYABLE na accounts RECEIVABLE....Hahaa[emoji23] [emoji23]Nilihisi nakufananisha Jirani baada ya kuchanhe Avatar
Haya Shikamoo! [emoji85][emoji85]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Ukamtunuku Mahondaw?[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
Salama salimini jirani... Nafurahia uwepo wako.Nilihisi nakufananisha Jirani baada ya kuchanhe Avatar
Haya Shikamoo! [emoji85][emoji85]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]