Salute chief[emoji122] [emoji122]Tatizo hawajiongezi ndio maana wanasumbuliwa hovyo hovyo. Jinsi unavyotoa ndio jinsi unapewa mambo mazuri. Motivation muhimu!
Hio mwanaume yeyote anafanya...ila kwa vicheche....labda itokee tu.Kwenda kwa my wife na si kwingine Mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha hizo wewe...[emoji23] [emoji23]
Nikupangie ratiba imekuwa coursework hii[emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa. Nyie tena.Mkuu bila kunisahau na mim sina hela.
Mim hutoa mpka ndizi,Embe,machungwa si unajua sie ni wale wa bush[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hili povu sijui kama huuzi kweli maana duuTujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.
Haaahaaaa....nimekustukia mkuu!Hahahahahah mkorofi wewe ujuwe. Ila nawewe nimefurahi umekuwa enlighten fastaa[emoji102]
ratiba kama ya UE mkuu..Leo zamu ya huyu kesho yule, keshokutwa yanguuuuuuuAcha hizo wewe...[emoji23] [emoji23]
Nikupangie ratiba imekuwa coursework hii[emoji23] [emoji23]
Ndizi ,embe,?[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu bila kunisahau na mim sina hela.
Mim hutoa mpka ndizi,Embe,machungwa si unajua sie ni wale wa bush[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa. Nyie tena.
KabisaHatuna cha kufanya rafiki mwisho wa siku tunalog out na kuendelea na maisha zingine.
Watuponde tu lkn habari ndo hiyo. No romance without finance.Salute chief[emoji122] [emoji122]
Hio mwanaume yeyote anafanya...ila kwa vicheche....labda itokee tu.
Ni la kheri jirani. Nipo bana jirani nadhani tunapishana tu jirani.Hahahahahah cheko la kheri au la makidai[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo again jirani... Umemisika kwa kweli[emoji13]
Yeap sisi wanaTEHAMA tunahama na avatars[emoji3]
Naijua[emoji23] [emoji23] ...hivi hiyo ID IPO kweli??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeikumbuka id moja hivi Mtani.
miminimkulimaakachekasana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui nimeipatia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeonaeee. Anatuzuga hapa.Haahaaa umeona eeh?...wachaga na pesa ni nomazz
Haahaa...we unanichunguza eeh[emoji12] [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]Nakubaliana na wew kabisa.
Unajua sisi binaadam tumepewa akili kubwa zaidi ya kufkiria vitu.
Wacha nikuchunge chunge nitakuelewa vzuri siku moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitafanya nin unafkiri[emoji23] [emoji23] .Ndizi ,embe,?[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani mbavu zangu...
Haaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnapenda vizur ila hamtaki kutoa vizur mpate vizur.
Unachati naye umpotezee muda wake halafu ukiombwa buku tu unakimbia, kama una hamu sana ya kuchati na wanawake si uchati na dada zako au shangazi zako ili usiombwe hela?
Acha ukorofi mahondaw wangu... kaone kwanza kalivyo kazuri...
Safi sana. ππππKwenda kwa my wife na si kwingine Mkuu