Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Tujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.
Kwa hili povu sijui kama huuzi kweli maana duu
 
Mnapenda vizur ila hamtaki kutoa vizur mpate vizur.
Unachati naye umpotezee muda wake halafu ukiombwa buku tu unakimbia, kama una hamu sana ya kuchati na wanawake si uchati na dada zako au shangazi zako ili usiombwe hela?
Haaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Imepenya hiyooo[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Acha ukorofi mahondaw wangu... kaone kwanza kalivyo kazuri...


Sio ukorofi smart sasa ndonini mwanamke unamsaidia tuuuuu mavitu ya bei bei hata humuombi wala kuonesha interest??? Yani hata mshipa haushtuki lol vibaya hivooo afu mtu mwenyewe unazungukwa na warembooo wa kila aina si kunyanyasana kisaikolojia jamani!!!!!!!????
 
Back
Top Bottom