sasa unakuta jitu la hovyo hovyo nalo lina-demand lipewe hela!Kwa vicheche tena itokee tena ,awe walau ana sifa stahiki
Haahaaa....ananichekesha huyo ujue[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hapa mjini una miliki nn.mi namiliki daladala tano,nyumba 6 ,magari mawili ya kutembelea ya kuanzia milioni 70, na bajaji nane.Mnapenda vizur ila hamtaki kutoa vizur mpate vizur.
Unachati naye umpotezee muda wake halafu ukiombwa buku tu unakimbia, kama una hamu sana ya kuchati na wanawake si uchati na dada zako au shangazi zako ili usiombwe hela?
Mmmh...wanayaweza wengine mkuuratiba kama ya UE mkuu..Leo zamu ya huyu kesho yule, keshokutwa yanguuuuuuu
Hahahaha, tusio kua na hela humu ni mm na wewe tu Mkuu,tubaki wasomaji
Hahahaa. Wacha na mie nikusaidie kucheka Ma.Ndizi ,embe,?[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani mbavu zangu...
[emoji382] [emoji382] [emoji382]Watuponde tu lkn habari ndo hiyo. No romance without finance.
Safi sana. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hivyo Mtani Mpango wako wa kando unaipata pata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu huwa mnajifanya haziwabani kumbe nyuma ya pazia mnateseka balaa..Halafu kidume akija kuomba kukupunguzia mzuka unaanza ooh bila mshiko hapati kitu. Mtakufa na genye zenuWatuponde tu lkn habari ndo hiyo. No romance without finance.
Hahahaha, aseemkuu kuna watu humu ni waongo kuna mdada Anajina kubwa humu ila siwezi kumtaja tulikuwa tunasafiri kutoka dom kwenda Arusha nilibahatika kukaanae siti moja katika safari tulikuwa tumefika wilaya ya bahi akatoa simu na kuingaia jf mwanzo nilikuwa na hamu ya kumjua ikawa ngumu ila Mungu alikuwa upande wangu yule dada alikomenti kwenye posta fulani nikawa nimeiona ile post na mimi nikaingia ili nimjue nilichokikuta na muhusika nilichoka nikavunga ili asigundue
Tunajaribu kuweka makaratasi in real life.... [emoji23][emoji23]Haaahaaaa....nimekustukia mkuu!
Kila siku unabalansisha ASSETS na LIABILITIES[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
Nimeona last seen yake ya mwezi wa oktoba sa sijui kama yupo tena.Naijua[emoji23] [emoji23] ...hivi hiyo ID IPO kweli??
Acha njaa wewe tafuta zako.Tatizo hawajiongezi ndio maana wanasumbuliwa hovyo hovyo. Jinsi unavyotoa ndio jinsi unapewa mambo mazuri. Motivation muhimu!
Ndizi, embe, parachichi?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitafanya nin unafkiri[emoji23] [emoji23] .
Kila mtu hujikuna pale anapojipata.
Sijawahi kukataliwa na hio nguvu ya hvyo vitu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya bhana upo lakiniNa ww uwe freshi kweli kweli,ila mi napenda sana nchi yangu.
π π π πKwa hili povu sijui kama huuzi kweli maana duu
Umeniambia unao wa kutosha, kwani ratiba ya UE anapanga nani?Mmmh...wanayaweza wengine mkuu
Kumbe alikuwa msweet wako Smart?... [emoji15] [emoji23] [emoji23]Sio ukorofi smart sasa ndonini mwanamke unamsaidia tuuuuu mavitu ya bei bei hata humuombi wala kuonesha interest??? Yani hata mshipa haushtuki lol vibaya hivooo afu mtu mwenyewe unazungukwa na warembooo wa kila aina si kunyanyasana kisaikolojia jamani!!!!!!!????
Utapotea kabisaaaa....Utakavyokua hapa JF post zako na comments zako hata ujibadilishe vipi basi nyuma ya keyboard utakua hvyo tu.
Sababu yoyote utakayoongea yanatoka akili mwako na maisha yako pia unayajenga na akili yako pia.
Hpna sikuchunguzi.Haahaa...we unanichunguza eeh[emoji12] [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]