Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mnapenda vizur ila hamtaki kutoa vizur mpate vizur.
Unachati naye umpotezee muda wake halafu ukiombwa buku tu unakimbia, kama una hamu sana ya kuchati na wanawake si uchati na dada zako au shangazi zako ili usiombwe hela?
Mkuu hapa mjini una miliki nn.mi namiliki daladala tano,nyumba 6 ,magari mawili ya kutembelea ya kuanzia milioni 70, na bajaji nane.
 
mkuu kuna watu humu ni waongo kuna mdada Anajina kubwa humu ila siwezi kumtaja tulikuwa tunasafiri kutoka dom kwenda Arusha nilibahatika kukaanae siti moja katika safari tulikuwa tumefika wilaya ya bahi akatoa simu na kuingaia jf mwanzo nilikuwa na hamu ya kumjua ikawa ngumu ila Mungu alikuwa upande wangu yule dada alikomenti kwenye posta fulani nikawa nimeiona ile post na mimi nikaingia ili nimjue nilichokikuta na muhusika nilichoka nikavunga ili asigundue
Hahahaha, tusio kua na hela humu ni mm na wewe tu Mkuu,tubaki wasomaji
 
Hahahaha, mtani,mpango wa kando kwa sasa sina ,najaribu kumsoma MTU nione km atafaa ,km ana sifa stahiki ,hahahaha
Safi sana. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Hivyo Mtani Mpango wako wa kando unaipata pata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watuponde tu lkn habari ndo hiyo. No romance without finance.
Halafu huwa mnajifanya haziwabani kumbe nyuma ya pazia mnateseka balaa..Halafu kidume akija kuomba kukupunguzia mzuka unaanza ooh bila mshiko hapati kitu. Mtakufa na genye zenu
 
mkuu kuna watu humu ni waongo kuna mdada Anajina kubwa humu ila siwezi kumtaja tulikuwa tunasafiri kutoka dom kwenda Arusha nilibahatika kukaanae siti moja katika safari tulikuwa tumefika wilaya ya bahi akatoa simu na kuingaia jf mwanzo nilikuwa na hamu ya kumjua ikawa ngumu ila Mungu alikuwa upande wangu yule dada alikomenti kwenye posta fulani nikawa nimeiona ile post na mimi nikaingia ili nimjue nilichokikuta na muhusika nilichoka nikavunga ili asigundue
Hahahaha, asee
 
Nitafanya nin unafkiri[emoji23] [emoji23] .

Kila mtu hujikuna pale anapojipata.

Sijawahi kukataliwa na hio nguvu ya hvyo vitu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndizi, embe, parachichi?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Amor unanivunja mbavu hapa hadi walioko na mimi hapa nawahadithia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio ukorofi smart sasa ndonini mwanamke unamsaidia tuuuuu mavitu ya bei bei hata humuombi wala kuonesha interest??? Yani hata mshipa haushtuki lol vibaya hivooo afu mtu mwenyewe unazungukwa na warembooo wa kila aina si kunyanyasana kisaikolojia jamani!!!!!!!????
Kumbe alikuwa msweet wako Smart?... [emoji15] [emoji23] [emoji23]
 
Utakavyokua hapa JF post zako na comments zako hata ujibadilishe vipi basi nyuma ya keyboard utakua hvyo tu.

Sababu yoyote utakayoongea yanatoka akili mwako na maisha yako pia unayajenga na akili yako pia.
Utapotea kabisaaaa....
 
Back
Top Bottom