Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu


Hahaha... na ulivyo na wivu sasa... daah
 
[emoji15] [emoji28] kumbe mlikutana humu?... Then life likahamia kitaa?

Hongera shoo
 
unajua ukiwa jf hata kama sio mbea amini utakuwa mbea maana utataka upate cha kuleta humu so ukipata mmpenyo lazima habari ipatikane
Kwahiyo ukajikuta umekuwa mbea ili uje na cha kuhadithia humu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ndo maana kumbe wanasema baadhi ya wanaume wa jf ni wambea[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]

Haahaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…