Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mara mbili kwa wiki bora na hao. Kuna ambao kila siku wana matatizo. Nauli vocha, chakula.. ndio michezo yao ipo hapo. Mwanamke anadanga masaa 24.
Nilipata wa hivyo nikampiga chini mapema sana maana tabia chafu kama hizo sizipend kabisa..
Ila bora wanaoomba hela za maana hata mara moja kwa mwezi, kuliko wanaoomba tuhela twa vocha kwa wiki mara 2.
Sio siri inakera sana. Na huwa unawashushia thamani sana.
 
Nadhan wanaume tunatofautiana. Ishu sio ubahili wengine tunatoa vizur tu.. shida kwenu dada zetu nyie kila siku mna shida. Vocha,njaa, nauli, saluni kila week..

Unadhan tunazitoa wap hizo pesa?
Kuomba omba kila cku ni kero hata kama mwanaume ana pesa. Omba labda kila mwez.. kila wiki mbili au tatu. Omba kwa step sio manakuwa agressive kama tra.... mnataka kodi?
Mmezid ubahili wanaume acha muombwe tu hakuna namna
 
Katoto kazuri,tatizo lako moja.
Kwenye mada nyingi baada ya kutoa mchango kueleza,wewe unajielezea.
Ndio maana unakumbana na chalenge nyingi sana,ukiacha kujielezea, jf utaiona nzuri sana,.
 
Aisee juzi kuna mmoja akaniambia anaenda saloon anaomba nimuongezee hela yaani hapo hata dakika 10 hazikuwa zimefika
 
Hela tu kuna wengine wanakuomba hela na bado geto anakuja kupika na bado anakula mkilalana anakupa mambo mmpaka unakimbia umuiti tena.


Mmh kwa experience yangu, wanawake wanaoaza kuomba hela baada ya kutongozwa, kamwe hawatoagi papuchi, hata wakiitoa utaona kuwa huyu MTU amenipa tu papuchi bhasi tu kwa vile imembidi, wala hajaridhia mm nilale nae katoto kazuri
 
Hahahaaa. Pole sana Mpwa.

Si ulimpa lakini? [emoji12]
Binamu mtu kama huyu anahitaji kusaidiwa maana inaonesha ana matatizo lakini hapaswi kuombwa chochote maana hapo ataota kitambi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…