Ahaaahaaa....eti thubutuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]sIKU HIZI SABABU KUBWA NI LUKU, UTASIKIA BABY NAOMBA UNIAZIME ELF 15 NINUNUE LUKU HAPA IMEISHA GHAFLA NILIKUWA NAPIKA NTAKURUDISHIA, THUBUTU UONE KAMA UTARUDISHIWA!!!!!
Hahaha... na ulivyo na wivu sasa... daah
Hebu mkuu mi niache please![emoji28] [emoji23] [emoji23]Ila wity unachonifanyia sio kitu kizuri
Nikikuomba buku unanianzishia uzi ha haaa umechanganyikiwa na nini sasa?Hapo unanisingizia, sio mimi...Mimi wewe ndo unanichanganya
[emoji28] [emoji23] we demiMwandiko wako kama wa Kala Jeremiah!
Sikuhizi wanaume wambea kuliko wanawake.Kwahiyo ukajikuta umekuwa mbea ili uje na cha kuhadithia humu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo maana kumbe wanasema baadhi ya wanaume wa jf ni wambea[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Haahaaa..
Hahahahaha.. Yani mtu anakusaidia bila conditions wala nini anakugharamia jamani na haoneshi hata uchu wa papuchi yako he takes his time kushughulikia mambo yako jamani mkaka mwenyewe bosi bosi fulani hivi afu kwao wana hela chafuuu... mimi ndo kipindi hiko nimeanza kazi natoa toa macho tu ndokwanza Mshahara wa kwanza sikupataga 2 months nalala kwenye kigodoro cha kupewa tu tena chinii lol ... haaaaaaaa automatic nikajikuta natamani anikule tu make nilijikuta nimemzoea sana sana na he cared about me.... make mtu anakusaidia afu hakuombi hata kwakweli mungu ambariki mno mno
cc Smart911
Hahahaha,mtani swali gumu hili ,kwanza apatikaneDuuh! Hivyo Mtani huyo naye utamuwekea akauntini eeee?
Nenda insta ya kala jeremia. Angalia anavyoandika caption zake, wameendana miandiko[emoji28] [emoji23] we demi
Yan unataka nifanyeje mpaka unielewe? Sio vizuri hivyo unachonifanyia mtoto wa mke mwenzioHebu mkuu mi niache please![emoji28] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha Mkuu, nakusapoti kwa Mara nyingineMim mkuu sitowahi kumfungulia mtu thread.
Sio kma s sijawahi kukutna na hta mmoja.
Ila tu hua najaribu kumuangalia mtu kwa mtazamo wangu.
Ikiwa svyo na uhalisia wake nakausha tu.
Wewe hata ukiniomba 9,950 Tsh sikuanzishii uzi... Unanichanganya na vingi ila kikubwa huo utamu wakoNikikuomba buku unanianzishia uzi ha haaa umechanganyikiwa na nini sasa?
Mkuuu wanaume ni PAYABLE in nature while wanawake ni RECEIVABLE in nature haijalishi ana hela au hana.. Akijisikia atafanya hivyo. So kwasisi wanaume ni shurti kupambana kujaza videbe vyetu ili mwisho wa siku tuweze kuwaservice hawa viumbe. Ukiona bado pagumu labda upambane huku ukiamini kuna zali la mentali[emoji23].
9,950 halafu nikatoe sh ngapi?Wewe hata ukiniomba 9,950 Tsh sikuanzishii uzi... Unanichanganya na vingi ila kikubwa huo utamu wako
Hhhh Mkuu naona umepita na hapa pia.Hahahaha Mkuu, nakusapoti kwa Mara nyingine
Kwahiyo hata kyupi tu huwezi mnunulia mpenz wako?.Kijana una 25-35 unatumia hela kupata mwanamke....ukifika 50+ itakuwaje?
Huo ni mfano tu..Wewe weka invoice yako yoyote nitailipia..9,950 halafu nikatoe sh ngapi?