Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Hahahahaha.. Yani mtu anakusaidia bila conditions wala nini anakugharamia jamani na haoneshi hata uchu wa papuchi yako he takes his time kushughulikia mambo yako jamani mkaka mwenyewe bosi bosi fulani hivi afu kwao wana hela chafuuu... mimi ndo kipindi hiko nimeanza kazi natoa toa macho tu ndokwanza Mshahara wa kwanza sikupataga 2 months nalala kwenye kigodoro cha kupewa tu tena chinii lol ... haaaaaaaa automatic nikajikuta natamani anikule tu make nilijikuta nimemzoea sana sana na he cared about me.... make mtu anakusaidia afu hakuombi hata kwakweli mungu ambariki mno mno



cc Smart911

Sinaga papara wala pupa mahondaw wangu... whatever you want i give you... na uhuru wote nakupa... mwenyewe akili itakukaa sawa... hahaha
 
Mwanaume na nusu..
Mkuuu wanaume ni PAYABLE in nature while wanawake ni RECEIVABLE in nature haijalishi ana hela au hana.. Akijisikia atafanya hivyo. So kwasisi wanaume ni shurti kupambana kujaza videbe vyetu ili mwisho wa siku tuweze kuwaservice hawa viumbe. Ukiona bado pagumu labda upambane huku ukiamini kuna zali la mentali[emoji23].
 
Back
Top Bottom