Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

hahaha " mna wasiliana na watu Kama hao wakazi gani sasa aisee
 
Hhhh sio mim huyu ni shibe hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Halaf nyinyi wew na hajar mungu anijaalie tu niwafaham.
Hahahaaaa. Lol.

Kishaa siku moja wabadili Id halafu waja nauzi ooh. Hajar kizee, ooh. Hajar ana mapengo basi tafrani. 😂😂😂😂

Au tukijishaua watuchoora na kusema lait wangewajua. 😂😂😂😂

Hatari sana.
 
Zaa watoto wakuheshim acha kudandia heshima za watu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah nacheka sana.

Mbona hujiamini wewe hhhhh.
 
Kasi ya mwendo wa 4G[emoji23]
Yeap hapo ndipo tulipo siku si nyingi tutatoka hapo tunahamia 5G...na ssa iv utaona kuna VoLTE ambapo ni twerking za LTE kuwezesha mtu kumake calls thru internet kama ilivyo whatsp u can make calls over LTE network (so LTE ni hardware ambayo inakuja na simu while VoLTE ni software inapatikana baada kuupgrade software system kwa baadhi ya high end devices).


Hiyo avatar ni logo la Android 9 aka Pie... It expected to be available thru some of devices around January 2019....

Kuna lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…