Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Hahaaa..Ila napenda unavyotukana,yani ukitukana na mzuka unazidi
Kwani hapa nimetukana?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....hii ni fact mkuu!

Nikitukana unaweza chizika asee!

That's y sipendi, lkn unakuta jitu linakufatilia weee hata huna time nalo! Unalipotezea aaah wapi liko na wewe tu, mpaka unashtuliwa na watu oyaa mbona huyu boya anakuchukulia poa? Na mwisho linaona unaliogopa kumbe unalichora tu na unalivutia pumzi!


Ngoja nishushe uzi mavi yasukume chupi sasa!
 
Viumbe kama hao wapo duniani..Cha msingi ni kuwapotezea tu la sivyo watasabisha unuuune halafu sisi wengine tushindwe kuona hilo tamasamu lako mwanana..Unajua ukismile tu hata kama nna hasira zinaisha zoteeee
 
Viumbe kama hao wapo duniani..Cha msingi ni kuwapotezea tu la sivyo watasabisha unuuune halafu sisi wengine tushindwe kuona hilo tamasamu lako mwanana..Unajua ukismile tu hata kama nna hasira zinaisha zoteeee
Siwezi nunishwa na teja mimi....akajidunge misindano halafu ndo apate stimu za kutukana![emoji15] [emoji15] [emoji86] ...

Kijitu chenyewe ukikiona sasa kituko kitupu lkn humu full mbwembwe na kutukana wanawake as if yy wa maana ptuuu!...ntamchambua kama karanga huyu teja wait....
 
Mkuu mbona povu sana kulikoni?
 
Msamehe wala asikuumize kicwa upoteze MB zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…