Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
- #1,381
Namaanisha kukuona physically..Yan nataka nilione hilo jicho linalorembua LIVE bila chengaSi nipo hapa. Hunioni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha kukuona physically..Yan nataka nilione hilo jicho linalorembua LIVE bila chengaSi nipo hapa. Hunioni?
Wewe mubayaaa[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namaanisha kukuona physically..Yan nataka nilione hilo jicho linalorembua LIVE bila chenga
Kwani hapa nimetukana?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....hii ni fact mkuu!Hahaaa..Ila napenda unavyotukana,yani ukitukana na mzuka unazidi
Kwenye wallpaper[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si nipo hapa. Hunioni?
Nimekuelewa..Ngoja nijiongezeJiongeze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ajisachiJiongeze
He he bora umempa hints[emoji23] [emoji23] [emoji23] ajisachi
Nimemrahisishia maana ulifunga codesHe he bora umempa hints
Viumbe kama hao wapo duniani..Cha msingi ni kuwapotezea tu la sivyo watasabisha unuuune halafu sisi wengine tushindwe kuona hilo tamasamu lako mwanana..Unajua ukismile tu hata kama nna hasira zinaisha zoteeeeKwani hapa nimetukana?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....hii ni fact mkuu!
Nikitukana unaweza chizika asee!
That's y sipendi, lkn unakuta jitu linakufatilia weee hata huna time nalo! Unalipotezea aaah wapi liko na wewe tu, mpaka unashutuliwa na watu oyaa mbona huyu boya anakuchukulia poa? Na mwisho linaona unaliogopa kumbe unalichora tu na unalivutia pumzi!
Ngoja nishushe uzi mavi yasukume chupi sasa!
Siwezi nunishwa na teja mimi....akajidunge misindano halafu ndo apate stimu za kutukana![emoji15] [emoji15] [emoji86] ...Viumbe kama hao wapo duniani..Cha msingi ni kuwapotezea tu la sivyo watasabisha unuuune halafu sisi wengine tushindwe kuona hilo tamasamu lako mwanana..Unajua ukismile tu hata kama nna hasira zinaisha zoteeee
Mkuu mbona povu sana kulikoni?Tujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.
Msamehe wala asikuumize kicwa upoteze MB zakoSiwezi nunishwa na teja mimi....akajidunge misindano halafu ndo apate stimu za kutukana![emoji15] [emoji15] [emoji86] ...
Kijitu chenyewe ukikiona sasa kituko kitupu lkn humu full mbwembwe na kutukana wanawake as if yy wa maana ptuuu!...ntamchambua kama karanga huyu teja wait....
Akiamka hapo jiandae kutolala leoMkuu mbona povu sana kulikoni?
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....The guardian news paperAkiamka hapo jiandae kutolala leo
Na mwandishi wetu ......Watu wanajua kuandika asieeHaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....The guardian news paper
Aaah kwa magazeti humu ni noma asee!Na mwandishi wetu ......Watu wanajua kuandika asiee
Wengine tukishaona magazeti tu tunapata uvivu kusoma..Mbaya zaidi hata ukijitutumua usome vitu havieleweki. 😀😀😀😀Aaah kwa magazeti humu ni noma asee!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ntamchukulia kama Id yake tuAkiamka hapo jiandae kutolala leo
Raha ya gazeti liwe linasomeka halafu lina mvuto atleast utaenjoy mtu....Wengine tukishaona magazeti tu tunapata uvivu kusoma..Mbaya zaidi hata ukijitutumua usome vitu havieleweki. 😀😀😀😀