Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu naona wanasema kila siku anaaga. Kumbe ni muagaji maarufu na haondoki
Sijui ana shida gani yaani...kiukweli namuonea huruma!

Kama tu humu kijiwe cha kutaniana, kucheka, na kufurahi pamoja, mtu unakuja na stress na maneno yasioeleweka je mtaani si ataokota makopo soon?[emoji26]
 
[emoji23][emoji23]

Ungemjibu angeshusha barua ndefu..tatizo anavyoandika kuelewa ni shida sana
Ewaaa....kama ulikuwa kwenye akili yangu, mi huwa simuelewi hata hicho alichoniquote sijamuelewa!... Ndo maana nikakwambia ktk lile swali lako kwake umuulize umri na elimu yake then utapata jibu ( kama hatakudanganya)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anatusoma kimyakimya tusubiri povu sasa
 
Back
Top Bottom