Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mkuuu wanaume ni PAYABLE in nature while wanawake ni RECEIVABLE in nature haijalishi ana hela au hana.. Akijisikia atafanya hivyo. So kwasisi wanaume ni shurti kupambana kujaza videbe vyetu ili mwisho wa siku tuweze kuwaservice hawa viumbe. Ukiona bado pagumu labda upambane huku ukiamini kuna zali la mentali[emoji23].
I love u
 
Usijal nakuaminia.

Humu tuko kubadilishana mawazo hata mim wa JF na wa nyuma ya keyboard ni tofauti sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuuuumbe?[emoji23] [emoji23] ...basi we mujanja[emoji122]

Haahaa kuna watu huwa mindset zao sijui vip? Anakukariri nyuma ya keyboard na kwamba ndo real yako kitaa! ajabu sana
 
Acha kupaniki mrembo,wala hajamanisha hivyo,ni bora wewe una mawazo chanya,nyie ndo ninaowapenda,hongera sana
Tujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.
 
Kuuuumbe?[emoji23] [emoji23] ...basi we mujanja[emoji122]

Haahaa kuna watu huwa mindset zao sijui vip? Anakukariri nyuma ya keyboard na kwamba ndo real yako kitaa! ajabu sana
Lakini unajua nin my dear.

Vyovyote utakavyojifanya kua tofauti katika mahala fulani na uhalisia wako ulivyo utajulikana tu japo kidogo wew ni mtu wa tabia flani.
 
Mkuuu wanaume ni PAYABLE in nature while wanawake ni RECEIVABLE in nature haijalishi ana hela au hana.. Akijisikia atafanya hivyo. So kwasisi wanaume ni shurti kupambana kujaza videbe vyetu ili mwisho wa siku tuweze kuwaservice hawa viumbe. Ukiona bado pagumu labda upambane huku ukiamini kuna zali la mentali[emoji23].
Nilihisi nakufananisha Jirani baada ya kuchanhe Avatar

Haya Shikamoo! 🙈🙈

💃💃💃💃💃
 
Wanakera kuna vijidudu watu humu wanadhani wenzao wao nihali ya chinii hata maji hawawezi nunua .
Yaani ukicomment ukisema chochote wewe ni mdangaji eh hivi tanzania nani anataka kuolewa humu watu wanataka kuolewa nje eti wapate air fresh sio humu tokea uzaliwe unaishi tu humu
Na ww uwe freshi kweli kweli,ila mi napenda sana nchi yangu.
 
Back
Top Bottom