Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
- #941
Nimepatia eeh..Mm huwa napata feeling ya watu wenye mautamu kama yakoHa haaa toka huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepatia eeh..Mm huwa napata feeling ya watu wenye mautamu kama yakoHa haaa toka huko
Wanacheka hapa mbavu hawana[emoji23] [emoji23]Hhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Usiwahadithie hhhhh.
Hatimae mkuu unafunguka[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha ,ushawahi kuombwa hela kwa lzm? yaani MTU analazimisha km alikukopesha, asee tuyaache tu
unajua ukiwa jf hata kama sio mbea amini utakuwa mbea maana utataka upate cha kuleta humu so ukipata mmpenyo lazima habari ipatikaneDuuh! Ulijua kukata shingo Mkuu.
Hivyo ukamchooora.
HaahaaaKama nimemuelewa nampa
Hatimae mkuu unafunguka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rusha namba nikupe hela kidogo ya kwenda saluni..Si unajua weekend imewadia
Ah wapiNimepatia eeh..Mm huwa napata feeling ya watu wenye mautamu kama yako
Ila wity unachonifanyia sio kitu kizuriAtajifanya hajui[emoji23] [emoji23]
Nimepata mkuu..Tegemea muamala muda wowote kuanzia sasaPm tayari
Mwandiko wako kama wa Kala Jeremiah!sIKU HIZI SABABU KUBWA NI LUKU, UTASIKIA BABY NAOMBA UNIAZIME ELF 15 NINUNUE LUKU HAPA IMEISHA GHAFLA NILIKUWA NAPIKA NTAKURUDISHIA, THUBUTU UONE KAMA UTARUDISHIWA!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo usijifanye kidume,ela zetu tumetafuta kwa maumivu makubwa sana ,alafu ww unakuja kichwa kichwa humu,napenda ela zangu na ndo maana nazieshimu sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi story tunavyoongea ni kma nakuona.Wanacheka hapa mbavu hawana[emoji23] [emoji23]
Halafu vidume wenzako...eti safi sana!
Kwa hiyo wewe sio mtamu??Ah wapi
Akamzoooom!Duuh! Ulijua kukata shingo Mkuu.
Hivyo ukamchooora.
Nitajuaje?Kwa hiyo wewe sio mtamu??
Ila we jamaa[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamooNimekupenda bure...Yani unajua utamu ulionao ni kwa ajili ya mwanaume so huna uchoyo wa ajabu ajabu..Kikubwa umuelewe anayekuja na ombi. Halafu nahisi utakua mtamu sana wewe
Ukiwa mtamu unajijua tu..Kwa uliowatunuku hawajawahi kukuambia?Nitajuaje?
Duuu ...😳😱sasa unakuta jitu la hovyo hovyo nalo lina-demand lipewe hela!