Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
- #1,401
Utampotezea sio[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ntamchukulia kama Id yake tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utampotezea sio[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ntamchukulia kama Id yake tu
Hapo sasa..Ila wewe ni muandishi mzuri sana,itabidi nikutafute unifundishe na mieRaha ya gazeti liwe linasomeka halafu lina mvuto atleast utaenjoy mtu....
Akuu[emoji15] [emoji15] ....mimi tena[emoji23] [emoji23]Hapo sasa..Ila wewe ni muandishi mzuri sana,itabidi nikutafute unifundishe na mie
Yes wewe..Yani uko vizuri hatariii,ntakitafuta unipe maujanjaAkuu[emoji15] [emoji15] ....mimi tena[emoji23] [emoji23]
Demi hasomeki, atakua kapata danga la maana..
Duuuh eti Danga[emoji15] [emoji15]Demi hasomeki, atakua kapata danga la maana..
Najua ww huwezi nitupa..Halafu tunaelewana balaa, umeligundua hilo? Yani damu zetu zitakua group mojaDuuuh eti Danga[emoji15] [emoji15]
Mimi sio konki master..Utakua umenifananishaHiyo ni njaa konkiii mastaa...😂😂😂polenii sana vijana😂😂😂😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi nunishwa na teja mimi....akajidunge misindano halafu ndo apate stimu za kutukana![emoji15] [emoji15] [emoji86] ...
Kijitu chenyewe ukikiona sasa kituko kitupu lkn humu full mbwembwe na kutukana wanawake as if yy wa maana ptuuu!...ntamchambua kama karanga huyu teja wait....
Warning: Hana hela huyo
Hiduma zote za msingi utazipata..No stress ukiwa na mimiMweh
Ulifurahi mwenyewe.....haaahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Good morning
Pole kwa hangover..Wine si za kuchezeachezeaUlifurahi mwenyewe.....haaahaaa
Leo mning'inio utabuma dadeeeki
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...anajua kutunga uzi tu[emoji125] [emoji125] [emoji126]Warning: Hana hela huyo
UnaloMweh
Hahahaha, we utakua na transfer nyingi sana za hela ktk account yako
Wana viherehere hao, hela zenyewe wanazolalamikia kuombwa sasa🙆🙆🙆Omba wa kitaa sio wa humu[emoji23] [emoji23]
Ukiomba wa humu hata jero unalo...haahaaa