Na mizinga pia.. Mizinga inakimbiza sana wanaume! Mi mwanamke niliyemuoa hakuwahi niomba hela hata siku moja, akawa kawazidi vigezo wote sasa anakula mema ya nchi!Kikubwa aache dharau..wanawake mngepunguza dharau wote mngekua kwa waume zenu
Umri ukifika mbona utahuzunika maana kadri umri unavyosonga soko lako linapotea wanakuja watoto watamu ambao twagombania na watoto wenzao. Wewe na ubibi wako utabakia kutegeema waganga
Angalau umejifariji ingawa bado inachoma moyoNdoa ingekuwa lazima kwa mwanamke basi tungekuwa tunazaliwa na vyeti vya ndoa mkononi ili ukipata ufahamu tu unamjua mme wako nani
Au papuchi zingeandikwa majina ya mmiliki toka tumboni
Unless otherwise
Ndoa sio lazima
Eti ehMwambie jamaa akakuchumbie
Nnayooooo tabia tamm jomoniiiii👌Tabia njema
Unayo ..
Mi siangalii chura , maana kuna siku itaisha
Ndio katoto kazuri kwani upendi uitwe mke wa Fulani? Mfano mke wa MLEVi MmojaEti eh
Hahaha umepanic braza/sistaKuchumbiwa na kuolewa ni vitu viwili tofauti, nlidhani umeolewa kumbe umeongopewa
Eti eh haya okeyNdio katoto kazuri kwani upendi uitwe mke wa Fulani? Mfano mke wa MLEVi Mmoja
Hahaha umepanic braza/sista
Kweli kuna sister mmoja, nakumbuk alikuwa between 25-27, mama yake alikuwa akimshauri sana aolewe maana alikuwa amenoga na wanaume wengi wenye uwezo wa kati na wenye uwezo wa jui kidogo walikuwa wakimtafuta sana, ila akawa anaringa sana na kumuambia mama yake asubiri kwanza.Kabisa mkuu naona vinajitetea hapa..vimeringa ringa usichansni mwao na kuchagua kama vinachagua nyanya wakifika 35 huko wanaanza kulialia
Basi unafaaNnayooooo tabia tamm jomoniiiii[emoji108]
Haya endelea kuzolosha mkuuKwani ni lazima kuoa ? Ama kuolewa
Hii style ya maisha inatukwamisha sana mimi nazalosha tu swala la kuoa huwa sifikirii
Shukrani Sana,Salamu zimefika.Hongera sana mkuu...comments zako zipo tofauti sana na za wadada wengi humu...msalimie shem.
Asante mkuu, hongera wewe unayejielewaAwasaidie mara ngapi wakati hamjielewi
Me ntajuaje kama ni mwanaume au mwanamke???kama unamjua wewe inatosha...halafu ni dharau na sio "zarahu" aseee mwanaume mwenye uandishi kama wako huo mbovu huwa hata sms yake sijibu,.maana ananipotezea muda,.Huyo ni mwanaume ila nashangaa kwa nn umeandika braza/sista ndo maana hamuolewi kwa hizi zarahu
Background yake ya uschana unaijua kiundani? Au umemjua tu baada ya ww kuolewa kwao?Ha haa kweli siwazingui ni kweli, labda Kama imetoka Kama hivyo ulisema mi sijui , ila ninachojua mimi ni kwamba hajawahi guswa na mwanaume
Ng'ombe wa3 na mbuzi mmoja tuuBasi unafaa
Itabid nianze kutafuta mahari
Tukikadiria itakua ngapi ?
Background yake ya uschana unaijua kiundani? Au umemjua tu baada ya ww kuolewa kwao?Ha haa kweli siwazingui ni kweli, labda Kama imetoka Kama hivyo ulisema mi sijui , ila ninachojua mimi ni kwamba hajawahi guswa na mwanaume
I get you. Can i try it sometime ?sio tatizo..ni kama sambusa hii ujuzi wako ndo utam wako
Ni kutokujua tu. Hope atabadili fikraMkuu tumekumbushwa kwenye vitabu vitakatifu tuchunge ndimi zetu maana zinaumba jamaa anajibebea laana ambayo itakuja kuwadhibu kizazi chake.