Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Na mizinga pia.. Mizinga inakimbiza sana wanaume! Mi mwanamke niliyemuoa hakuwahi niomba hela hata siku moja, akawa kawazidi vigezo wote sasa anakula mema ya nchi!Kikubwa aache dharau..wanawake mngepunguza dharau wote mngekua kwa waume zenu