Woi..atampata mume huko kanisani.We ukishaleta namba tutajuana tu. Naomba unipm bas
Shake well before useMwambie aendelee kusubiri Siku hizi ni taste before purchasing
Vya strangers vitamu[emoji23][emoji39]Upo serious na mtu usiyemjua?
Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura[emoji2364]!
Kwa makubaliano yao sio mie niwaunganishe ππ, mhenga hujambo lakini?Vya strangers vitamu[emoji23][emoji39]
Mmh unamkosesha mume mwenzio ππππHa haaa jamani siwezi kutoa namba, mwache atafute mwenyewe atakayempenda
πππππ atabaki na utamu wake, sie tunataka watoto wa kike wanaojielewa bwana. We usigongwe ni nani kama bikira maria tu alimzaa yesu. Akwende zakeee!!!Huyu hata ghetto haji nakwambia, Tena ukimwambia aje atakwambia..shindwa katika jina la yesu na urafiki unakufa hapo hapo.
Fisi kwenye ubora wako we ulitaka afikie wapi siku ya kwanza ππππHuyo manz ndio unakaribisha geto anafikia kwenye stuli ata kitandani hataki kukaaπ
Ndio zao hao sema busara hutumika kuwakaushia πππUkiona mwanamke anapondea sana wanaume jua umri umesonga
ππππππEndelea kujifariji tu. Usipodhibiti mienendo yako lazima uzeeke bila ndoa. Halafu huwa wana stress na hasira za karibu wale wasioolewa na age inasoma 30+
Aku! Anajikosesha mwenyewe wanaume wamejaa hivi unakosaje mume jamani, ht Kama sio mume basi angau wa kukupet pet. Historia inaonyesha watu wawili tofauti walishakuja kuchumbia hapo zamani akawatolea nje.Mmh unamkosesha mume mwenzio ππππ
Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.
Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
Kuna kipindi unajiuliza why na una feel guilty..ila baada ya muda unazoea tu...hata hustuki...By Kikongwe
πππππ hahah afikie hata kwenye kona ya kitanda nimpe tenzi za rohoni kidogo...Tatizo wanakuwaga wabishi kung'oka utadhani.wamekalia super glue pale.Fisi kwenye ubora wako we ulitaka afikie wapi siku ya kwanza ππππ
Kugongwa atakuwa anataka ila nahisi anawaza na umri huu naanzaje kumvulia mtu nguo? Haya Mambo bwana yana umri wake, kitu 45 plus halafu huna mvuto wowoteπππππ atabaki na utamu wake, sie tunataka watoto wa kike wanaojielewa bwana. We usigongwe ni nani kama bikira maria tu alimzaa yesu. Akwende zakeee!!!
Hahahaha halafu kukata posa inakuwa kama laana nishawahi kushuhudia hiyo yaani kimavi unatembea nacho πππππAku! Anajikosesha mwenyewe wanaume wamejaa hivi unakosaje mume jamani, ht Kama sio mume basi angau wa kukupet pet. Historia inaonyesha watu wawili tofauti walishakuja kuchumbia hapo zamani akawatolea nje.