Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Huyo msiri tu best sehemu zote anazo tembelea huwa anafatana na mtu.Natamani ungekuwa unamjua ungeaamini. Ndugu zake wanaamini ni bikra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo msiri tu best sehemu zote anazo tembelea huwa anafatana na mtu.Natamani ungekuwa unamjua ungeaamini. Ndugu zake wanaamini ni bikra
😂😂😂😂😂 hapo kwenye mizinga ukijaribu kuwa mtata hukawii kuonekana huna hela. Ngoja kile kikosi kazi wakuone unasifia kuto kuombwa hela.Na mizinga pia.. Mizinga inakimbiza sana wanaume! Mi mwanamke niliyemuoa hakuwahi niomba hela hata siku moja, akawa kawazidi vigezo wote sasa anakula mema ya nchi!
[emoji23][emoji23][emoji23] hili dongo unaweza kopea CRDB
Eti ungenistiri huyo aliyenioa hajanistiri bali tumestiriana yaani ndoa kwako unaona kama uhai vile tuulize tulio kuwa ndani ya ndoa najua wewe bado msela 😀😀😀kwa majibu hayo na hekima lazma uwe na mume tu. Hata ungekuwa huna ningekusitiri mimi mamii😂 nina slot 3 zipo wazi
Mmh haya! Ila mi nayokuambia ungekuwa unamfahamu ungeniamini. Huyu kila kitu ni dhambi. Hlf tayari ana akili za kibibiHuyo msiri tu best sehemu zote anazo tembelea huwa anafatana na mtu.
Naomba nikuwoweuzuri wake I grow old gracefully...sina bitter feelings..nikipata wa kunioa sawa,nisipopata pia sawa...
Wanajionaga wazuri sana bila kujua kuna kuchuja, kuna muda unafika hata wale aliowakataaga kwa mbwembwe anatamani hata kupokea s ilaalamu toka kwao.😂😂😂 ila inakuwa too late hasa wakiwa washaoa na life imekaa mkao wanapiga na kusepa.Kweli kuna sister mmoja, nakumbuk alikuwa between 25-27, mama yake alikuwa akimshauri sana aolewe maana alikuwa amenoga na wanaume wengi wenye uwezo wa kati na wenye uwezo wa jui kidogo walikuwa wakimtafuta sana, ila akawa anaringa sana na kumuambia mama yake asubiri kwanza.
Saiv ana 40' na kaishia kuzalishwa watoto wa 3 na kuiba waume za watu + HIV.
Wadada wengi wanaringa sana kuolewa kipindi wanapotakiwa kufanya hivyo.
Hahahaha pole yake ana kufa na utamu wakeMmh haya! Ila mi nayokuambia ungekuwa unamfahamu ungeniamini. Huyu kila kitu ni dhambi. Hlf tayari ana akili za kibibi
Naomba nikuwowe
Halafu hizi fikra mwanamke anachuja hebu badilikeni,Mwanamke kujitunza mwili wala hauchuji wala sura haitoonyesha umri umeenda 😀😀😀😀😀Wanajionaga wazuri sana bila kujua kuna kuchuja, kuna muda unafika hata wale aliowakataaga kwa mbwembwe anatamani hata kupokea s ilaalamu toka kwao.😂😂😂 ila inakuwa too late hasa wakiwa washaoa na life imekaa mkao wanapiga na kusepa.
Itakuwa siri yetu. Nani atamwambia?Akuu,siko tayari kuharibu ndoa ya dada yangu Sky ...😉
Ajiongeze basi hata apate mtoto Kama kuolewa imeshindikana nayo anaona dhambi. Kuondoka nyumbani ukajitegemee nako ni dhambi eti ni kukosa maadili so yupo tu kwao na anazeeka tunamuona.Hahahaha pole yake ana kufa na utamu wake
hujaolewa??Kuna kipindi unajiuliza why na una feel guilty..ila baada ya muda unazoea tu...hata hustuki...By Kikongwe
..nionyeshe mhenga[emoji39]Nakupendaga ila ndo hivyo huoni
😂😂😂😂😂 nunua kigodoro Nemo, chura ni rasilimali na kivutio muhimu sana kwa sasa....lol just kidding. Be confident with yourself utapata mwanaume anaependa body yako. Wapo hata humu humu.Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura🤦🏾♀️!
Macho yako yatakuwa mabovu..nionyeshe mhenga[emoji39]
Zamani ipi?ndoa si matako kama kila mtu anayo na wala sio lelemama na hasa ndoa za vijana wa kileo. Waliomo ndani ya ndoa wanataka kutoka sasa nyie wenye viherehere mnaotaka kuingia kwa tashwishwi za watu wengine ambao mpo humo shauri zenu, mtahesabiwa vyuo kila siku , ndoa zamani bhana sio sasa
Were imeguswa au badoInavyosemekana, hata kimuonekano anaonyesha kabisa kuwa hajaguswa.