Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Na mizinga pia.. Mizinga inakimbiza sana wanaume! Mi mwanamke niliyemuoa hakuwahi niomba hela hata siku moja, akawa kawazidi vigezo wote sasa anakula mema ya nchi!
😂😂😂😂😂 hapo kwenye mizinga ukijaribu kuwa mtata hukawii kuonekana huna hela. Ngoja kile kikosi kazi wakuone unasifia kuto kuombwa hela.
 
Hilo ndio wasilojua
Kadri wanavyokuwa soko lao lapungua maana wanazaliwa wazuri kuwazidi. Specie mpya mchanganyiko wa damu sio sura ngumu ya kabila moja.

Wanaume wanaongezeka market kutokana na umri
[emoji23][emoji23][emoji23] hili dongo unaweza kopea CRDB
 
kwa majibu hayo na hekima lazma uwe na mume tu. Hata ungekuwa huna ningekusitiri mimi mamii😂 nina slot 3 zipo wazi
Eti ungenistiri huyo aliyenioa hajanistiri bali tumestiriana yaani ndoa kwako unaona kama uhai vile tuulize tulio kuwa ndani ya ndoa najua wewe bado msela 😀😀😀
 
Kweli kuna sister mmoja, nakumbuk alikuwa between 25-27, mama yake alikuwa akimshauri sana aolewe maana alikuwa amenoga na wanaume wengi wenye uwezo wa kati na wenye uwezo wa jui kidogo walikuwa wakimtafuta sana, ila akawa anaringa sana na kumuambia mama yake asubiri kwanza.

Saiv ana 40' na kaishia kuzalishwa watoto wa 3 na kuiba waume za watu + HIV.

Wadada wengi wanaringa sana kuolewa kipindi wanapotakiwa kufanya hivyo.
Wanajionaga wazuri sana bila kujua kuna kuchuja, kuna muda unafika hata wale aliowakataaga kwa mbwembwe anatamani hata kupokea s ilaalamu toka kwao.😂😂😂 ila inakuwa too late hasa wakiwa washaoa na life imekaa mkao wanapiga na kusepa.
 
Halafu hizi fikra mwanamke anachuja hebu badilikeni,Mwanamke kujitunza mwili wala hauchuji wala sura haitoonyesha umri umeenda 😀😀😀😀😀
 
Hahahaha pole yake ana kufa na utamu wake
Ajiongeze basi hata apate mtoto Kama kuolewa imeshindikana nayo anaona dhambi. Kuondoka nyumbani ukajitegemee nako ni dhambi eti ni kukosa maadili so yupo tu kwao na anazeeka tunamuona.
 
Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura🤦🏾‍♀️!
😂😂😂😂😂 nunua kigodoro Nemo, chura ni rasilimali na kivutio muhimu sana kwa sasa....lol just kidding. Be confident with yourself utapata mwanaume anaependa body yako. Wapo hata humu humu.
 
ndoa si matako kama kila mtu anayo na wala sio lelemama na hasa ndoa za vijana wa kileo. Waliomo ndani ya ndoa wanataka kutoka sasa nyie wenye viherehere mnaotaka kuingia kwa tashwishwi za watu wengine ambao mpo humo shauri zenu, mtahesabiwa vyuo kila siku , ndoa zamani bhana sio sasa
 
Zamani ipi?
 
Back
Top Bottom