Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Pole sana bora wewe umekuwa mkweli
Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura[emoji2364]!
 
Huyu hata ghetto haji nakwambia, Tena ukimwambia aje atakwambia..shindwa katika jina la yesu na urafiki unakufa hapo hapo.
😂😂😂😂😂 atabaki na utamu wake, sie tunataka watoto wa kike wanaojielewa bwana. We usigongwe ni nani kama bikira maria tu alimzaa yesu. Akwende zakeee!!!
 
Endelea kujifariji tu. Usipodhibiti mienendo yako lazima uzeeke bila ndoa. Halafu huwa wana stress na hasira za karibu wale wasioolewa na age inasoma 30+
😂😂😂😂😂😂
 
Mmh unamkosesha mume mwenzio 😃😃😃😃
Aku! Anajikosesha mwenyewe wanaume wamejaa hivi unakosaje mume jamani, ht Kama sio mume basi angau wa kukupet pet. Historia inaonyesha watu wawili tofauti walishakuja kuchumbia hapo zamani akawatolea nje.
 
Uende mbali utupe faida ya ww kuolewa..na yule ambae ajaolewa..?!

Mnatofautiana kiasi ganii kimaisha
 
Ushachelewa mwananchi
Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.

Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
 
Fisi kwenye ubora wako we ulitaka afikie wapi siku ya kwanza 😃😃😃😃
😂😂😂😂😂 hahah afikie hata kwenye kona ya kitanda nimpe tenzi za rohoni kidogo...Tatizo wanakuwaga wabishi kung'oka utadhani.wamekalia super glue pale.
 
😂😂😂😂😂 atabaki na utamu wake, sie tunataka watoto wa kike wanaojielewa bwana. We usigongwe ni nani kama bikira maria tu alimzaa yesu. Akwende zakeee!!!
Kugongwa atakuwa anataka ila nahisi anawaza na umri huu naanzaje kumvulia mtu nguo? Haya Mambo bwana yana umri wake, kitu 45 plus halafu huna mvuto wowote
 
Aku! Anajikosesha mwenyewe wanaume wamejaa hivi unakosaje mume jamani, ht Kama sio mume basi angau wa kukupet pet. Historia inaonyesha watu wawili tofauti walishakuja kuchumbia hapo zamani akawatolea nje.
Hahahaha halafu kukata posa inakuwa kama laana nishawahi kushuhudia hiyo yaani kimavi unatembea nacho 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom