Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Eeeeh sasa jamani kama wa kutuoa hawapo tufanyaje.... Kuna vitu vingine huwezi kufosi vitokee acha wanaoolewa waolewe wakati wao umefika
 
Jamani kwani una ghubu? We hujataka tu kuolewa. Yaani Mimi nikiachika hapa nikitaka kuolewa tena sikosi mume [emoji3]
Hahahahhahahahaha shogaaaa anaeniweza mimi malaika tu
 
Back
Top Bottom