Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?


Huu ushauri unatoa kwa me/ke??
 

So sad [emoji23]
 

Agiza bia mkuu
 
Daah! Mkuu una umri gani?

Yaani hujui kabisa kuandika vizuri!
 
mtii mume wako , na mume mpende mke wako...hivi enzi za zamani wanawake walikuwa wanapenda na kiufanya maamuzi kkwa kuangalia kama anampenda mwanaue au la...ka swali tu haka, maana ukifuatilia kiundani ni debate nyingine tena aisee
Sidhani maana mwanamke anapenda kwa mazoea. Na ndio maana kwa amri ya baba iliwezekana binti akaolewa na kijana anaechaguliwa na wazazi na akastick nae mpaka kuzaa nae watoto na wakalea. Ilikua rahisi maana hakukuwa na option na mume alipewa skills za jinsi ya kuishi na mkewe.

Hata mwanamke akipinga na kulia mwanzoni inafikia stage ananyamaza na kuzoea maisha ya mume na maisha yakaenda vizuri tu huku mama akimsihi uvumilivu ndio key.

Siku hizi mtoto wa kike anajichagulia anaemtaka yeye kwa vigezo anavyojipangia yeye visivyo hata na mantiki. Matokeo yake hata husband materials wanawakatalia for stupid reasons. Mwanaume.ana sifa zote za kuwa baba ila kwa vile hana gari anatoswa, kwakuwa ana sura ya kiume hapewi chance anakubaliwa bishoo anaeigiza maisha anatia mimba anakimbia anaacha single mom.
 
Eti ungenistiri huyo aliyenioa hajanistiri bali tumestiriana yaani ndoa kwako unaona kama uhai vile tuulize tulio kuwa ndani ya ndoa najua wewe bado msela πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kusitiriana ni ukomavu wa hali ya juu, mie sina tofauti na wewe, ni vile sijaenda kulisha watu ukumbini tu. Ila maisha yanasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…