igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 957
- 1,496
Mimi bado sijaoa.[emoji849][emoji849][emoji849]
😅😅nikutafutie mchumba,..?Mimi bado sijaoa.
Ndiyo natafuta kwako.[emoji28][emoji28]nikutafutie mchumba,..?
Jaribu huyu mchuchu InnaNdiyo natafuta kwako.
Mimi siyo domo zege, najitafutia mwenywe. Nataka tukapike wote mahanjumatiJaribu huyu mchuchu Inna
😆😆😂Mimi siyo domo zege, najitafutia mwenywe. Nataka tukapike wote mahanjumati
Niambie sasa, nipo hapa usingizi umegoma hadi unipe jibu langu. Hapa naangila gypsum board tu kitandani[emoji38][emoji38][emoji23]
Jibu gani etii...😀Niambie sasa, nipo hapa usingizi umegoma hadi unipe jibu langu. Hapa naangila gypsum board tu kitandani
Nitakupata, tukapike wote?. Nakuahidi hautajutia @!!!Jibu gani etii...[emoji3]
Weeeee😂😂😂mbona unantamanishaaNitakupata, tukapike wote?. Nakuahidi hautajutia @!!!
Nashauri wasichague sana...mimi naamini ktk maombi...waombe Mungu atawapa kwa wakati sahihi
Dunia imebadilika overnight. ..... kwa sasa wanaume wengi wanahangaika sana kutafuta mke, hali kadhalika wanawake wengi wanatafuta mme. ...
Kwa nini hawakutani?
Jibu ni kwamba. ... binadamu tumepachikwa/tumejipachika picha fake ya perfect mume au mke .... which doesn't actual exist in real life
90 % ya ndoa duniani hazina amani /furaha duniani , mbaya zaidi hakuna kozi inayofundisha how to live good life with a partner /spouse
Research zinasema 2025 couples zitakuwa 5% ya population ya dunia .
May Allah have a mercy on us.
Amina.
if you believe getting money is totally equivalent to happiness, then you are in delusion of grandeur someone should wake you up.Marriage is just a piece of fucking paper.
(excuse my manner [emoji57])
Kuna tofauti kati ya kuishi na mtu na kuoana,
kama unazungumzia wale ambao wanaishi peke yao bila wapenzi hiyo ni another case,
Find Money and you will get your happiness.
With vividly examples, write the meaning of Happiness.....if you believe getting money is totally equivalent to happiness, then you are in delusion of grandeur someone should wake you up.
Nimeoa....Umeolewa bibie?
whatever that brings you joy subjectively is termed as happiness.With vividly examples, write the meaning of Happiness.....
Kuna wanawake 3 tofauti niliongea nao na maongezi
1. Nyie wanaume mna raha sana maana mkiamua kuoa, mnajipanga tu hata miaka miwili mnatafuta mke mnaanza maisha.
Ila sisi wanawake unafika wakati unataka mume ila kila anayekuja anagonga na anasepa.
2. Kuna mwingine nilipita namweleza twende kwenye mahubiri; akanambia kama niko tayari kumuoa ataambatana nami.
3. Huyu aliniambia yuko tayari kubadili dini kwa kijana yeyote atakayekuwa tayari kumuoa. Hataki abadili dini then aendelee kuishi kwao. Bali anataka awe na mume naye.
Kwa nyakati tofauti na usiniulize age zao.
Mioyo yao imebeba huzuni na furaha zao ni kupata wenza wa maisha.
[/QUOTE dunia ina watu7.7b wanaume wako 2.2b kati yao 50% wameoa 30%ni under age children 10%wazee above65 yrs 5% mapadre ..bado kuna ma. gay sijui % ngapi. Wanaume tuanze kuongeza wake hii habari ya kuwa na mke mmoja nikuwanyima fursa wanawake wengine... Natoa nafasi kwa wanawake wawili
Mkuu huu ni ujinga sana.Kwani ni lazima kuoa ? Ama kuolewa
Hii style ya maisha inatukwamisha sana mimi nazalosha tu swala la kuoa huwa sifikirii
Mkuu huu ni ujinga sana.
Kwa hiyo unazalisha watoto wa watu na kuwaacha.
Kwanini usizae na Mama yako sasa.