Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dunia imebadilika overnight. ..... kwa sasa wanaume wengi wanahangaika sana kutafuta mke, hali kadhalika wanawake wengi wanatafuta mme. ...

Kwa nini hawakutani?

Jibu ni kwamba. ... binadamu tumepachikwa/tumejipachika picha fake ya perfect mume au mke .... which doesn't actual exist in real life

90 % ya ndoa duniani hazina amani /furaha duniani , mbaya zaidi hakuna kozi inayofundisha how to live good life with a partner /spouse

Research zinasema 2025 couples zitakuwa 5% ya population ya dunia .

May Allah have a mercy on us.

Amina.
 
Itakuw ni shida sanaa
 
Marriage is just a piece of fucking paper.
(excuse my manner [emoji57])

Kuna tofauti kati ya kuishi na mtu na kuoana,
kama unazungumzia wale ambao wanaishi peke yao bila wapenzi hiyo ni another case,

Find Money and you will get your happiness.
if you believe getting money is totally equivalent to happiness, then you are in delusion of grandeur someone should wake you up.
 
With vividly examples, write the meaning of Happiness.....
whatever that brings you joy subjectively is termed as happiness.

happiness is money(according to you), so no money no happiness!!... you are basically telling us whenever there is money people are forever happy.

mate that's pure deluded mind of you. I have met bunch of people with no money but their whole life is showered with joy,elation and incessant celebrations. Also I have seen a lot of rich people dying of depression. have you heard of Jeff bezo's case?
 
Kuna wanawake 3 tofauti niliongea nao na maongezi
1. Nyie wanaume mna raha sana maana mkiamua kuoa, mnajipanga tu hata miaka miwili mnatafuta mke mnaanza maisha.
Ila sisi wanawake unafika wakati unataka mume ila kila anayekuja anagonga na anasepa.

2. Kuna mwingine nilipita namweleza twende kwenye mahubiri; akanambia kama niko tayari kumuoa ataambatana nami.

3. Huyu aliniambia yuko tayari kubadili dini kwa kijana yeyote atakayekuwa tayari kumuoa. Hataki abadili dini then aendelee kuishi kwao. Bali anataka awe na mume naye.

Kwa nyakati tofauti na usiniulize age zao.
Mioyo yao imebeba huzuni na furaha zao ni kupata wenza wa maisha.
[/QUOTE dunia ina watu7.7b wanaume wako 2.2b kati yao 50% wameoa 30%ni under age children 10%wazee above65 yrs 5% mapadre ..bado kuna ma. gay sijui % ngapi. Wanaume tuanze kuongeza wake hii habari ya kuwa na mke mmoja nikuwanyima fursa wanawake wengine... Natoa nafasi kwa wanawake wawili
 
Back
Top Bottom