Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Kwani wewe unauelewa gani kuhusu ndoa kwamba mwanamke unaweza kutoa amri ya ndoa ifungwe pasipo makubaliano.
yap,mwanamke ana power ya kumteka mwanaume,like utii,unyenyekevu,caring, heshima,kujielewa,hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu,sasa unakutana na yule mwanamke wa wanawake live,hata wewe ungekuwa mwanaume ungeoa kweli?
 
Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.

Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
changamka muda ni adui number moja kwa mwanamke
 
alikuwa ameshazaa, huyo jamaa ana umri gani???
Jamaa hana mtoto hata wa kusingiziwa, ila mkewe alipata mimba kabla ya ndoa mtoto alifariki akiwa tumboni. Shem ni mkubwa kwa dada yangu. Ndoa yao ikafungwa dada akiwa 32 na wanapendana sana kwa kuwatazama tu, ya ndani wanajuwa wao.
 
Jamaa hana mtoto hata wa kusingiziwa, ila mkewe alipata mimba kabla ya ndoa mtoto alifariki akiwa tumboni. Shem ni mkubwa kwa dada yangu. Ndoa yao ikafungwa dada akiwa 32 na wanapendana sana kwa kuwatazama tu, ya ndani wanajuwa wao.
hatari sana
 
Wasubiri watakujibu wahusika
 
Jamaa alkuwa desperate na kuoa sometimes inafikia situation kweny maisha na changamoto unaamua ujiolee

If not hiyo case na mfano uliotoa ni mara chache unatokea one in million lakini majority of us hatuoi mwanamke umri umeenda
 
Mkuu Champagnee gnee una mtoto wa kike wewe?

ukoo wenu wooottee watoto wa kike wameolewa?

naomba unjibu haya maswali kwanza kabla hatujsonga mbele zaidi
 
Wanazingua sana..
Kwahiyo unamkula... Angalia asikutegeshee mimba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…