Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
yap,mwanamke ana power ya kumteka mwanaume,like utii,unyenyekevu,caring, heshima,kujielewa,hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu,sasa unakutana na yule mwanamke wa wanawake live,hata wewe ungekuwa mwanaume ungeoa kweli?Kwani wewe unauelewa gani kuhusu ndoa kwamba mwanamke unaweza kutoa amri ya ndoa ifungwe pasipo makubaliano.