Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Hahaaaa daah

Smart guy
 
nipe namba yake huyo wa tatu anaetaka kubadili dini mkuu
 
Umekosea mkuu,Omba Sana watoto wako wa kike kama utabatika wapate ndoa wasije angukia kwenye kundi ulisemalo la mbwisi au takataka.
Wasipopata ni upumbavu wao..mimi hapo nitakua siusikii kabisa
 
una aki

akilizako kama za boya moja nlikuaga nae eti anasema kabisa hataki kuoa haa nikamuacha mchana kweupe sijui nani alimwambia mi nataka vitombi..ms....nge sana yule kaka..na bora alitamka mapema.
sasa njoo kwangu hapa twende kwa shehe kukakamilishe daughter
 
Ndio ivyo mzee baba hawa wanawake wapo wengi sana na sio lazima wote waolewe wengine ni kwa ajili ya kuosha rungu tunapokua tumechoka kupiga papuchi za kwenye ndoa
aisee mkuu japo mimi ni me lakini naona unatakiwa uwe na lugha ya staha kidogo hivi umeshafikiria kuwa hata wewe cku 1 utakuja kuwa baba,anko,binamu au kaka ya hao wanawake ambao hawajaolewa?
 
Sio kwamba utakuwa uhusiki utahusika na roho itakuuma sana kuona binti zako wapo home.
Kwa sasa yupo mmoja..ila ataolewa tu labda mama yake amharibu na dunia zenu za kufikirika, kutaka ndoa hadi zipeoekwe bbc,tarumbuta,watu wakeshe wakila nankunywa n.k...ila kama ni ndoa ya kawaida ataolewa na mtu wake tu na watatengeneza maisha yao pamoja bila shida yoyote
 
Nikuambie tu hakuna mwanamke ambae hajawahi kubahatika kupata mtu mwenye nia ya kumuoa...tatizo lipo kwenu wanawake mnachagua sana,mnataka kila kitu mkukute,tatizo linaanzia hapo...
Jinsia yako ni me ila unaonekana unataka uvae uhusika una mawazo mabaya juu ya wanawake.
 
Naona wivu sana ila siharibu harusi ya mabest zangu.
Ila roho inauma
 
Eti ataolewa tu kama vile nawe ni Mungu omba sana asije kukuletea mtoto nyumbani kabla ya ndoa.
 
Jinsia yako ni me ila unaonekana unataka uvae uhusika una mawazo mabaya juu ya wanawake.
Sina mawazo mabaya juu ya wanawake na nawaheshimu sana..lakin meanamke ambae hajaolewa kajitakia hakuna wakumlaumu,tatizo ni yeye na sio sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…