Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Hahaaaa daahwanatamani ku like hiii reply yako ila wanaogopa vibaya Mno...na uhakika saivi ingetakiwa iwe ishapata Likes za kutosha ila Kila mtu anajifkiria ni ki like watanijua sjaolewa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF raha sana yani watu tunatumia ID fake ila kuna mambo mtu hata kama hajulikani ukimwambia afanye,aseme,aandike Bado hatoweza sjui hii watu wa saikoloji wanalisemeaje.
Smart guy