Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Huyo Mungu mwenyew simwamini...ila nishasema ataolewa ni lazima hiyo
Umenichekesha comment yako muandae huyo mwanaume wa kumuoa mkuu maana hata baadhi ya wanaume hawana hata hayo mawazo ya ndoa ni Mia kwa mmoja anawaza ndoa.
 
Umenichekesha comment yako muandae huyo mwanaume wa kumuoa mkuu maana hata wanaume wenyewe hawana hata hayo mawazo ya ndoa ni Mia kwa mmoja anawaza ndoa.
Kikubwa aache dharau..wanawake mngepunguza dharau wote mngekua kwa waume zenu
 
MANUNGAYEMBE
 

Roho inakushuta hv🤣🤣🤣
 
Unataka kunuambia mpaka mwanamke anafikisha miaka 30 hajatongozwa au kitakuwa na mtu mwenye malengo na yey?
Kuna kanuni ukitongozwa lazima ukubali halafu umri 30 kwako unauchukuliaje yaani Ukifika umri huo pasipo kuwa na ndoa ni mkosi,Ni bora kukaa bila ndoa kuliko kuolewa na mtu asiye sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…