Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Huyo Mungu mwenyew simwamini...ila nishasema ataolewa ni lazima hiyo
Umenichekesha comment yako muandae huyo mwanaume wa kumuoa mkuu maana hata baadhi ya wanaume hawana hata hayo mawazo ya ndoa ni Mia kwa mmoja anawaza ndoa.
 
Umenichekesha comment yako muandae huyo mwanaume wa kumuoa mkuu maana hata wanaume wenyewe hawana hata hayo mawazo ya ndoa ni Mia kwa mmoja anawaza ndoa.
Kikubwa aache dharau..wanawake mngepunguza dharau wote mngekua kwa waume zenu
 
Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??

Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi

Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi

Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.

JIMAPILI NJEMA.
MANUNGAYEMBE
 
wanatamani ku like hiii reply yako ila wanaogopa vibaya Mno...na uhakika saivi ingetakiwa iwe ishapata Likes za kutosha ila Kila mtu anajifkiria ni ki like watanijua sjaolewa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

JF raha sana yani watu tunatumia ID fake ila kuna mambo mtu hata kama hajulikani ukimwambia afanye,aseme,aandike Bado hatoweza sjui hii watu wa saikoloji wanalisemeaje.

Roho inakushuta hv🤣🤣🤣
 
Unataka kunuambia mpaka mwanamke anafikisha miaka 30 hajatongozwa au kitakuwa na mtu mwenye malengo na yey?
Kuna kanuni ukitongozwa lazima ukubali halafu umri 30 kwako unauchukuliaje yaani Ukifika umri huo pasipo kuwa na ndoa ni mkosi,Ni bora kukaa bila ndoa kuliko kuolewa na mtu asiye sahihi.
 
Back
Top Bottom