Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

una aki

akilizako kama za boya moja nlikuaga nae eti anasema kabisa hataki kuoa haa nikamuacha mchana kweupe sijui nani alimwambia mi nataka vitombi..ms....nge sana yule kaka..na bora alitamka mapema.
Pole njoo kwangu Nikuoe tuanzishe kafamilia ketu
 
Ndoa ingekuwa lazima kwa mwanamke basi tungekuwa tunazaliwa na vyeti vya ndoa mkononi ili ukipata ufahamu tu unamjua mme wako nani
Au papuchi zingeandikwa majina ya mmiliki toka tumboni
Unless otherwise
Ndoa sio lazima

Ahsante dada[emoji41]
 
Wanawake Wenye umri kuanzia miaka 28 -30 ambao Mpaka Sasa hawajaolewa wapewe course gani ili waweze kuolewa!?? Alisikika mlevi mmoja akiuliza swali

Hahahahaha toa yako mkuu manake hawa possibility yao kubwa ya kuolewa n ndg au waolewe na wazee
 
Mkuu hudhani huu uzi utafanya wazidi kujiskia vibaya?

Kuolewa ni suala lipo nje ya control yao (mara nyingi)

Ulichofanya hapa ni sawa na kumuuliza kiwete anajiskiaje 'kuona wenzie wanatembea kila kukicha'?

Nashauri ufutilie mbali huu uzi kandamizi
wanatamani ku like hiii reply yako ila wanaogopa vibaya Mno...na uhakika saivi ingetakiwa iwe ishapata Likes za kutosha ila Kila mtu anajifkiria ni ki like watanijua sjaolewa 😂 😂 😂

JF raha sana yani watu tunatumia ID fake ila kuna mambo mtu hata kama hajulikani ukimwambia afanye,aseme,aandike Bado hatoweza sjui hii watu wa saikoloji wanalisemeaje.
 
Back
Top Bottom