Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Wajinga sana... Hua wanachagua sana waume wakuwaoa.. wanakuja pata mme kimeo.. anabaki analia tu... Kuna mmoja nilikua nae kama BF and GF kwa miaka 5.. Akaja zingua kuolewa... nikambembeleza weee hataki... Nikamwacha nikaoa mtu mwingine...

Kumbe alipata jamaa mmoja hivi mke wake alikua kaenda Chuo SA... Mke karudi jamaa kampiga chini... Kwa sasa yupo anapuyanga tu....kila mtu anamkula full stress... siku moja et linatuma text kwangu miss you... vipi familia... sijamjibu... kuna siku nipo tena moro... nashangaa huyo kajaa... ila... nilipiga hadi leo hua napiga tu... mara naomba kuzaa na wewe hata mtoto mmoja ...hua nakataaa tu...

Wanawake msiwe selective sana....maisha tafuteni wote..sio unamkuta tu mwanaume ana hela zake.. utaishia kua mme wa pili au mchepuko wa jamaa na manyanyaso kibao... shauri zenu
Mara wanaume hawaelewek sabab kibao
 
Masimango nayo!!?
Acheni kusema watoto wa wenyewe,kuolewa ni mipango ya MUNGU.
Na kila mmoja muda utafika.
Acheni kucheza na feelings za kinadada.
 
Na kuna Wanaume pia hawajielewi,mbona anaharibia binti CV na akijua hamuoi??
Wanaochezea kinadada na wasiwaoe ni wanaume,tena wakishawatumia wanawaponda.
 
Wajinga sana... Hua wanachagua sana waume wakuwaoa.. wanakuja pata mme kimeo.. anabaki analia tu... Kuna mmoja nilikua nae kama BF and GF kwa miaka 5.. Akaja zingua kuolewa... nikambembeleza weee hataki... Nikamwacha nikaoa mtu mwingine...

Kumbe alipata jamaa mmoja hivi mke wake alikua kaenda Chuo SA... Mke karudi jamaa kampiga chini... Kwa sasa yupo anapuyanga tu....kila mtu anamkula full stress... siku moja et linatuma text kwangu miss you... vipi familia... sijamjibu... kuna siku nipo tena moro... nashangaa huyo kajaa... ila... nilipiga hadi leo hua napiga tu... mara naomba kuzaa na wewe hata mtoto mmoja ...hua nakataaa tu...

Wanawake msiwe selective sana....maisha tafuteni wote..sio unamkuta tu mwanaume ana hela zake.. utaishia kua mme wa pili au mchepuko wa jamaa na manyanyaso kibao... shauri zenu

Pumbavu sana huyo adhabu yake aendelee kupuyanga tu
 
Back
Top Bottom