Kuna wanawake 3 tofauti niliongea nao na maongezi
1. Nyie wanaume mna raha sana maana mkiamua kuoa, mnajipanga tu hata miaka miwili mnatafuta mke mnaanza maisha.
Ila sisi wanawake unafika wakati unataka mume ila kila anayekuja anagonga na anasepa.
2. Kuna mwingine nilipita namweleza twende kwenye mahubiri; akanambia kama niko tayari kumuoa ataambatana nami.
3. Huyu aliniambia yuko tayari kubadili dini kwa kijana yeyote atakayekuwa tayari kumuoa. Hataki abadili dini then aendelee kuishi kwao. Bali anataka awe na mume naye.
Kwa nyakati tofauti na usiniulize age zao.
Mioyo yao imebeba huzuni na furaha zao ni kupata wenza wa maisha.