Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Kuna wanawake 3 tofauti niliongea nao na maongezi
1. Nyie wanaume mna raha sana maana mkiamua kuoa, mnajipanga tu hata miaka miwili mnatafuta mke mnaanza maisha.
Ila sisi wanawake unafika wakati unataka mume ila kila anayekuja anagonga na anasepa.

2. Kuna mwingine nilipita namweleza twende kwenye mahubiri; akanambia kama niko tayari kumuoa ataambatana nami.

3. Huyu aliniambia yuko tayari kubadili dini kwa kijana yeyote atakayekuwa tayari kumuoa. Hataki abadili dini then aendelee kuishi kwao. Bali anataka awe na mume naye.

Kwa nyakati tofauti na usiniulize age zao.
Mioyo yao imebeba huzuni na furaha zao ni kupata wenza wa maisha.
Mungu awasaidie
 
Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??

Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi

Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi

Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.

JIMAPILI NJEMA.
Na sisi wanaume ambao hatuoi wakati makamanda wenzetu wanavuta majiko kila uchwao. Tuna comment wapi?
 
Anatuzingua uyo, huwa naskia kuna muda bikra huwa inatoka yenyew labda ni bikra hajawai kuingizwa mashine sawa
Ha haa kweli siwazingui ni kweli, labda Kama imetoka Kama hivyo ulisema mi sijui , ila ninachojua mimi ni kwamba hajawahi guswa na mwanaume
 
Back
Top Bottom