Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

😂😂😂😂😂 hahah afikie hata kwenye kona ya kitanda nimpe tenzi za rohoni kidogo...Tatizo wanakuwaga wabishi kung'oka utadhani.wamekalia super glue pale.
Hahahaha we sio mzima wallah unawaza kuchikwichi mda wote.
 
Hahahaha halafu kukata posa inakuwa kama laana nishawahi kushuhudia hiyo yaani kimavi unatembea nacho 😂😂😂😂😂
Ilikuwa enzi hizo za usichana sasa hivi jamani atakayetokea kweli nitaamini kashushwa na yesu
 
Kugongwa atakuwa anataka ila nahisi anawaza na umri huu naanzaje kumvulia mtu nguo? Haya Mambo bwana yana umri wake, kitu 45 plus halafu huna mvuto wowote
Apo mwisho case closed 😂😂😂 nimekusoma vema sameeyah.
 
Kugongwa atakuwa anataka ila nahisi anawaza na umri huu naanzaje kumvulia mtu nguo? Haya Mambo bwana yana umri wake, kitu 45 plus halafu huna mvuto wowote
We huyo unafikili hagongwi labla iwe toka azaliwe hajaonja ule utamu huko huko kanisani.
 
Kwa makubaliano yao sio mie niwaunganishe [emoji3][emoji3], mhenga hujambo lakini?
Sijambo mhenga, umenitenga sana na hunipendi tena[emoji39][emoji39][emoji23]
 
Hahahah sasa kuoa ni gharama ya mamilioni aisee, na hapo ni excluding dowry! Soon mtakuja ku realize kumbe kinachokwamisha zoezi ni expenses za ukumbi na mbwembwe zisizo na lazima ili mashosti wakome.

Budget: MC Gharab, Cardinal Rugambwa hall, Lavie makeup, range rover 3, Wedding gown expensive san, suit za wapambe kali, catering ya gharama.....n.k Total...25M!

Af bado wanalalamika hakuna waoaji eti😂😂😂!
Wadada ajira hakuna sikuhizi na maisha ni safari, anzeni taratibu na wenza wenu mtafika tu. Wanaoweza haya ni vijana waliotokea kwenye family zenye mawe tu ambao ni wachache sana nchini kulinganisha na ratio ya wanawake.
Hizo budget hazina ulazima wowote mkuu.
 
Mtasema yote,ndoa ni agizo la Mungu sio hiari ni ibada.

Kama ilivyo siku ya kuzaliwa na kufa ndivyo kwa ndoa!

Hamuoni bwana au bibi kukataa siku ya ndoa au kufariki sekunde kabla ya ndoa.

Ni muhimu ila haifosiwi
 
Matokeo ya kuolewa ni mbaya sana, kwanza unageuzwa geuzwa na lijamaa usiku kucha linavo taka, mara uvimbe juu, mara utapike
shit
😂😂😂😂😂 kengemaji ww, ndio ndoa hio sharti ulale uchi!
 
Back
Top Bottom