Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Ni ngumu wanawake wote kuolewa, kumbuka wanawake ni zaidi ya mara mbili ya wanaume, hata wanaume wote wakioa wanawake wawili wawili bado watabaki wengi tu wasioolewa.
 
acha ubishi Unazungumzia sample ndogo ya wanaume waliojikatia tamaa uzeeni ndo wanaoa vibibi

Take it from me Kama mwanaume sisi hatuoi wanawake age imeenda vizee venyewe vinaoa vibinti yaan kuna miaka ikifika sisi kama wanaume hatukuoi
Malizia mkuu, wanaume wenye akili za kitoto wanaowaza uzuri tu na sio maisha.
 
Malizia mkuu, wanaume wenye akili za kitoto wanaowaza uzuri tu na sio maisha.
it doesn't matter wana akili gani maana hata hao matajiri ambao maybe kwa upande wako ndo wana akili za maisha wamepigana wamefika hapo walipo wanaoa kiwapendezacho machoni.

and yes tunaangalia uzur muonekano muhimu halafu vingine vinafuata "love at first sight " We mwenyewe unajua ukwel lakini unabisha outside of this continent everything is possible age doesn't matter tofauti na huku kwetu ambapo tunaanza kubadilika kidogo

Ukweli mchungu hatuoi wanawake umri umekwenda
 
Mkuu, sema wewe unaoa watoto usisemee wanaume wote. Mi dada yangu ameolewa na 32, unafikiri huyo mwanaume hajaona wa 23, kila mwanaume na akili zake na kila couple unayoona wana yao yanayowasukuma kufunga ndoa mbali na age. Wanaume wa sampuli yako ni hatari kwa afya maana kesho nikizeeka itabidi uanze kuwatafuna wajukuu zetu.
 
alikuwa ameshazaa, huyo jamaa ana umri gani???
 
Kupanga na kuchagua indeed...

ni kwa vile culture yetu imejawa upuuzi ukifikisha 30 hujaolewa kama sio wewe basi mama yako ataanza kushukiwa na waja,vipi binti yako haolewi????

,nchi nyingine kuwa married,na ku remarry ni kitu cha kawaida..

hivyo wengine wanaolewa hata akifikisha 60,

sio sahihi kuolewa na mtu sio sahihi,

its sad wanatuona tusiolewa kuwa ni loosers,wakati sisi tunaona walioolewa na kucompromize their happiness ndio loosers
tulia wewe, mwanamke bila mwanaume hajakamilika,hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuwa na ndoto ya kuolewa,tafuta mwanaume uenjoy maisha,utaishi upweke hadi lini?
 
Wanaume mlivyo hamnazo miaka hii, kuolewa imekuwa kama mkosi. Chanzo cha kuuana, kupata maradhi ya HIV, stress, magonjwa ya moyo nk. Mwanamke hata akiwa na 45 as long as atataka kuolewa ataolewa. Msisababishe watu wakalazimika kuolewa kwa wakaka wasiojielewa kisa miaka. Ndoa sio lelemama kusema nikimbilie kuolewa hili nisifike 30+ kabla sijaolewa hata kama si mtu sahihi. MAISHA NI KUPANGA NA KUCHAGUA.
hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuwa na ndoto ya kuolewa, mwanamke bila mwanaume hajakamilika, tafuta mwanaume uenjoy maisha utaishi upweke hadi lini??
 
Back
Top Bottom