Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Jibu kwa mlevi mwanamke ahame anapoishi na aende kuishi uhamishoni, huko uhamishoni inabidi awe na tabia njema Sana kwa kuwa waowaji wapo katika mazingira yanayomzunguka muhusika asianzishe uhusiano na mtu yoyote amkatae kila atakayemtongoza au kwa maneno mengine awape condition ya ndoa na awe anawashauri kuhusu maisha itamfanya aonekane ni mtu smart kuna watakaoingia mkenge
Kukaa ulipozaliwa na kukulia nayo ni changamoto masela Wana stori zako kuanzia aliyekutoa bikri mpaka uliyetoa mimba yake waliokupiga mtungo mpaka shughuli unaijua ama haujui nani ataingia mkenge kuoa?
Hii techniq inafanya kazi kwenye uhalisia. Nashauri wale wenye haja kali ya kuongeza chances za kupata mume waijaribu.
Nina ushuhuda toka kwa dada mmoja niliwahi kumpa ushauri kama huu na ukafanya kazi.
 
Kuna wanawake 3 tofauti niliongea nao na maongezi
1. Nyie wanaume mna raha sana maana mkiamua kuoa, mnajipanga tu hata miaka miwili mnatafuta mke mnaanza maisha.
Ila sisi wanawake unafika wakati unataka mume ila kila anayekuja anagonga na anasepa.

2. Kuna mwingine nilipita namweleza twende kwenye mahubiri; akanambia kama niko tayari kumuoa ataambatana nami.

3. Huyu aliniambia yuko tayari kubadili dini kwa kijana yeyote atakayekuwa tayari kumuoa. Hataki abadili dini then aendelee kuishi kwao. Bali anataka awe na mume naye.

Kwa nyakati tofauti na usiniulize age zao.
Mioyo yao imebeba huzuni na furaha zao ni kupata wenza wa maisha.
wape salamu .....nawasalimia
 
Back
Top Bottom