Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Tusiokua na pesa tutafanya nini wala tutatenda nini mkuu wangu wakati siraha yetu pekee, Ndiyo ivo tunajikuta tunaitwa KONOKONO au DUME SULUARI.
[emoji1][emoji1]
 
Eti konokono[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimemuwaza kono kono hapa na nilivyo siwapendi sijui ulimfanya nini dada wa watu!![emoji1787][emoji108][emoji108][emoji119]
Sikumfanya chochote kibaya mi mtu mpole Sana nashangaa mechanism ya ukonokono imetoka wapi..πŸ˜…
 
Anijibu vizuri tu hata kama hanitaki na si kuniita Mimi konokono..[emoji26]
Pole harafu ukute kukutukana kote huko kumbe naye kakupenda anasubil umtongoze tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakuibia siri
 
Ungerudisha mapigo Mkuu konokono mimi nimemtamani konokono mwenzagu tuelewane basi kikonokono. 🀣🀣🀣🀣🀣
🀣🀣🀣
 
Reactions: BAK
Sawa bhana, we ndo mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio adode siku akikutana na wewe aanze kaka mambo unamwambie I'm konoboy not kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kamoja kamenijibu hovyo jana.Anyway kameona like mimi sijafika chuoooo kwa vile kapo huko now.Wakati watu tulikuwa huko miaka 8 ilopita.
Ngojs dunia ipo tu kwaajili yake
So wamsubiri ajilowe..πŸ˜‚
 
Utafika ila ukiwa umeshachoka sana.
Magoti yatakuwa yamechubuka.
Maji yamekauka mwilini.
Damu imebaki 0.02
Nywele zimenyonyoka.
Yani tu mradi safari yako itakuwa iliyojaa mateso, chuki, jasho na damu!!
Weeeeh konokono?

Hapana.
🀣🀣
Laleki Dunia mateso hii.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utaskia tu "tafuta hela" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole konokono...
Niache mie nihangaikie shauri langu la talakaπŸšΆβ€β™€οΈπŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ We nasikia Kuna mtu ulimuita chura..🀣
 
Ndio adode siku akikutana na wewe aanze kaka mambo unamwambie I'm konoboy not kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Ati kono Nini..?
 
Kama nakuona unavyolalamika, pole kwa kuitwa konokono
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787] me simo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…