Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Wacha nikupe list ya majina niliyopewa yote..

Kiberenge
Komamanga
Nungunungu
Embe ng'ong'o
Konokono
Kilamba mwiko
Sijui litafata lipi..[emoji28]
Inabidi tuanze kukuombea tu...
 
Nina 47 miaka mimi
🤣🤣 Serious..?
[emoji23][emoji23][emoji23]ndugu, iyo ya LinkDIn nmechomekea tu

Nisije kuchambwa bure

Ila mim pia ni G..inategemea G gani.[emoji23][emoji23][emoji23]
This is jf bujibuji alijiitaga gilesi wakamshitukia kikamnukia..🤣
Be careful humu Kuna watu zao kupiga connection tu..
 
Lile penzi, lilinipitisha kwenye bonde ambalo, kupona kwake kulinifunza namna mpya ya kumpenda mtu..hata km nahitajika kumpenda kwa dhati.. Lkn nijue kumuishi

Kwa sasa, "Me first" ......
Hebu shusha nondo kidogo tu..
Labda una tabia za konokono
Dah!
[emoji3] nguruwe

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Wewe panya buku..😅
Nikajua huna wa kukuomba kumbe unakikundi Cha wamama..🤣
Inabidi tuanze kukuombea tu...
Katika maombi usiwepo maana najua sala zako zitakuwa za tofauti utasikia "ashikwe baba! Apigwe baba,ang'olewe meno ya sebuleni baba!"🤣
Wewe hapana aisee.
 
Hii story tunaisindikiza na

Nipsey hussle-Dedication
 
[emoji23] nimecheka sana...! Dah..kwahiyo unanichukulia mi muuaji na sipendi uimarike kisaikolojia!

Nitafunga 3 kavu kwa ajili yako, ukiona mafanikio ujue dada mkubwa katengeneza njia!
 
[emoji23] nimecheka sana...! Dah..kwahiyo unanichukulia mi muuaji na sipendi uimarike kisaikolojia!

Nitafunga 3 kavu kwa ajili yako, ukiona mafanikio ujue dada mkubwa katengeneza njia!
Mafanikio ya kwanza naomba niyaone kule..!
Nisipoyaona naenda kuteta na yesu Ana kwa ana! Nateta nae acheze nawewe..🤣
 
Mafanikio ya kwanza naomba niyaone kule..!
Nisipoyaona naenda kuteta na yesu Ana kwa ana! Nateta nae acheze nawewe..[emoji1787]
[emoji13][emoji13][emoji13] tulia
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Ujipime kabla hujasumbua watu. Kutongoza ni maruweurwe yako na huwezi mlazimisha mtu awe kwenye vipaumbele vyako. Bwana mdogo acha kuparamia.

Hilo la kulazimisha watu wakupe heshima unapowapotezea muda kwa mambo ambayo wengine wanayaona ni maudhi, usitegemee kujibiwa kwa heshima na kla mtu. Kwanza inaonekana wewe unaparamiaga watu bila kuwafahamu na hayo ndiyo madhara. Hili linawezekana tu kwenye nchi za kiislam ambako wanawake ni bidhaa au mifugo, na si binadamu. Labda uende kule maana huko wako hata wa kununua tu.
 
So mkuu unahukumu tu! Hakuna Cha kuparamia vyengine unaandika hata haujui..
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Nashauri auwawe huyo
 
[emoji1787][emoji1787] Serious..?

This is jf bujibuji alijiitaga gilesi wakamshitukia kikamnukia..[emoji1787]
Be careful humu Kuna watu zao kupiga connection tu..
Sina uhakika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sina uhakika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya tulia tulii Kama maji mtungini. Ila navyokujua huna hulka ya kutulia utaanzisha tena ligi..😂
Mara hii nakuweka yale makwenzi ya kuwa na adabu..🤣
 
Haya tulia tulii Kama maji mtungini. Ila navyokujua huna hulka ya kutulia utaanzisha tena ligi..[emoji23]
Mara hii nakuweka yale makwenzi ya kuwa na adabu..[emoji1787]
Shida sio mimi ni jina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ntajibatiza lingine niachane na hii tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…