Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Mwizi huwa anajitaja??Mbona me navaa na sina hizo sifa ulizotaja!!!? Unakariri maisha?
Hahahahaaaa..Wanajifanya Tiss
Hiyo sio kofia tu. Mavazi huwa yana reflect tabia ya mtu kwa 70%Hiyo ni kofia tu, vipi kuhusu wanaume tunaovaa suruali, tuna sifa gani? Wasichana watukimbie pia?
Unasemea suruali ya kitenge,😂?Hiyo ni kofia tu, vipi kuhusu wanaume tunaovaa suruali, tuna sifa gani? Wasichana watukimbie pia?
Safi sana, nami Ninazo hizininazo kama 4 pure leather bila kuvaa nahisi nmemis kitu
Hakuna, pamoja na majoho wanayovaa au kanzu bado ni wazinifu tu....ziacheni nguo msiziseme vibaya jamaniHiyo sio kofia tu. Mavazi huwa yana reflect tabia ya mtu kwa 70%
Wanaovaa kofia kama hii kaa nao mbali dada yanguWanaume wote ni vibaka tu..hamna Cha kofia wala nini
Wazinifu sawa ila ni wachache sanaHakuna, pamoja na majoho wanayovaa au kanzu bado ni wazinifu tu....ziacheni nguo msiziseme vibaya jamani
🧐Wazinifu sawa ila ni wachache sana
Kwamba hapo umezungumzia wezi au? Huwezi ukamjaji mtu kwa kofia mkuu, Hizo kofia wanavaa sana wachaga and gues what they are hard working na hawana hata hizo sifa unazotajaMwizi huwa anajitaja??
Utakuwa unapenda sana wajane na unacheza sana draft mkuu..Kwamba hapo umezungumzia wezi au? Huwezi ukamjaji mtu kwa kofia mkuu, Hizo kofia wanavaa sana wachaga and gues what they are hard working na hawana hata hizo sifa unazotaja