Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

View attachment 3271397

Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.

Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft, wakilewa wanaongea sana kingreza.

Ongezea na wewe sifa zao kama unazijua ili kuwasaidia hawa dada zetu.
Hahahaha kwahiyo wanagalanos ndio tunaswaga hizo sio? Mwalimu Msocha hajatufunza swaga hizo japo ndio tulikuwa tunazitumia kutongozea mademu wa Majani Mapana, Nguvumali na kisosora?
 
Nilikuwa navaa hizo kofia, niliacha baada ya kuona siletewi tena kesi za kusuruhisha Ndoa.

Nahisi Vijana wakaanza kuhisi, huenda nami ni Mzee Kijana kama wao bure 😜🙌
 
View attachment 3271397

Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.

Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft, wakilewa wanaongea sana kingreza.

Ongezea na wewe sifa zao kama unazijua ili kuwasaidia hawa dada zetu.

Rafiki yangu Gambo anavaa, na Cousin wa Pablo Escobar alikuwa anivaa miaka hiyo!
 
Back
Top Bottom