Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.
Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft, wakilewa wanaongea sana kingreza.
Ongezea na wewe sifa zao kama unazijua ili kuwasaidia hawa dada zetu.