Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
- Thread starter
-
- #41
Alafu ni matapeli balaaWanaozivaa wote ni TBT kwanza
Si ndio maana ni matapeli wa mjiniRafiki yangu Gambo anavaa, na Cousin wa Pablo Escobar alikuwa anivaa miaka hiyo!
Wanaume wote ni vibaka tu..hamna Cha kofia wala nini
Si ndio maana ni matapeli wa mjini
Madam taratibuWanaume wote ni vibaka tu..hamna Cha kofia wala nini
Wanapenda mashati mapana hasa ya DraftView attachment 3271397
Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.
Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft, wakilewa wanaongea sana kingreza.
Ongezea na wewe sifa zao kama unazijua ili kuwasaidia hawa dada zetu.
Kipenzi 🥰Wanaume wote ni vibaka tu..hamna Cha kofia wala nini
Hahahaaaa umeona eeh??Wanapenda mashati mapana hasa ya Draft
Doh,mie sio kibakaWanaume wote ni vibaka tu..hamna Cha kofia wala nini
🤭Doh,mie sio kibaka
Umenichekesha sana mkuu. TISS wa konyoWanajifanya Tiss
Mkuu ndugu..
Vipi MkuuMkuu ndugu..
Hahahahaaa