Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

View attachment 3271397

Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.

Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft, wakilewa wanaongea sana kingreza.

Ongezea na wewe sifa zao kama unazijua ili kuwasaidia hawa dada zetu.
Wanapenda mashati mapana hasa ya Draft
 
Back
Top Bottom